Mtandao wa TMZ umeripoti kuwa Chris Brown usiku wa kuamkia JANA amezichapa kavu kavu na mwanamuziki mwenzie Frank Ocean.Vyanzo vilivyo karibu na Chris vimedai kuwa Chris anadai Ocean ndiye aliyeanzisha ugomvi Chris alikuwa kwenye studio ya Westlake ya jijini Los Angeles akisikiliza baadhi ya nyimbo za wasanii wake. Vyanzo vinasema wakati Chris anaondoka, Frank Ocean na washkaji zake wakaziba njia.
Tuesday, January 29, 2013
Kamikaze afunguka juu ya kufanya collabo na wakali kutoka Nigeria ,pamoja na track ya utam wa chocolate kuchezWa nchini humo…
Member wa kundi la
Wakacha Cyril aka kamikaze Katika harakati za kuuvisha border mziki wake amefanya
collabo na wakali kutoka Nigeria ,
Akipiga sory na SwahiliInfo.blogspot.com Kamikaze amesema fans wake wategemea kusikia kazi mpya ambayo
amefanya na Bebesumtin ikiwa kama solo projEct nje ya kundi lake la wakacha
,ngoma hiyo imefanyika BLING Records Nigeria chini ya producer King,
Saturday, January 26, 2013
Sikukuu ya chelewesha lulu kuingia uraiani,sasa kutoka jumatatu...
Kwa mujibu habari za kuaminika
zilizotolewa kupitia
millardayo.com kuwa msanii wa
maigizo Elizabeth Michael a.k.a Lulu angeachia
jana ijumaa january 25, watu
wengi waliisubiri kwa hamu siku hii ili waweze
kufahamu ni nini kingetokea,
lakini kwa bahati mbaya jana ilikuwa ni sikuu ya
Maulid kwa hiyo mahakama
haikufunguliwa hivyo kumfanya Lulu aendelee kubaki maabusu.
Thursday, January 24, 2013
Sikiliza alichokisema Penny baada ya kuonekana picha ya utata akiwa amelala na Diamond Platinum ...
Msanii
wa Bongo Fleva maarufu Diamond Platinum siku ya leo kupitia katika
mitandao mbalimbali kulikuwa na maswali mengi sana juu ya picha ambayo
ikimuonyesha Diamond Platinum akiwa amelala na Penny.
sasa Swahiliinfo imefumania interview aliifanya Vj Penny kuzungumzia ishu hiyo,anadai yeye na Diamond ni marafiki tu.
msikilize hapa..
Tyga atiRiRika kuhusiana na albam yake Mpya na anavyojisikia baada ya kuwa baba….
Tyga ambaye
amekwisha kutangaza tarehe rasmi ya kutoka kwa albam yake ya Hotel California March 26
,amezungumzia pia majukumu alionayo hivi sasa baada ya kuwa baba..
Tyga akipiga story na106 & Park amesema amekuwa busy sana akifanya kazi zake kama sio
albam basi ni mixtape ,pamoja na ku-promote viatu vyake vinavyozalishwa na
Reebok, the T-Raww, na pia anamtoto wa kiume ambaye amezaliwa
October mwaka jana aliempa jina la Cairo.Rapper huyo mwenye 24 kutoka YMCMB Akizungumzia juu ya kuwa baba amesema imemfanya ayakubali maisha kwa kiasi flani na haofii majukumu yaliyoongezeka baada ya kuwa baba.
"It’s not really a challenge. It’s actually fun ’cause I’m a young parent. At the same time, I’m still enjoying my life," amesema Tyga.
Baadhi ya celebrities wamekuwa wakificha maisha yao binafsi hususani maisha ya watoto wao ,lakini Tyga sio mmoja wao ,.kwani mwanae Cairo tayari ana Instagram account.
Mchek Tyga akiwa ndani ya 106 & Park..
Wednesday, January 23, 2013
Shakira apata mtoto wa kiume, amuita Milan ..
Muimbaji
ambaye ni mzaliwa wa Colombia Shakira na bwana wake ambaye ni mchezaji wa Barcelona Gerard Piqué, wamefanikiwa kupata mtoto wao wa
kwanza wa kiume .
Shakira
kupitia mtandao wa twetter amesema mtoto huyo anaitwa Milan Piqué Mebarak kimatamshi jina
hilo linatamkwa( MEE-lahn), jina ambalo anadai linamaanisha mpendwa kwa lugha ya Slavic..
Tuesday, January 22, 2013
Friday, January 18, 2013
Huyu ndo msanii mpya wakike alie-sign Cash Money...
YMCMB ni group linaloendelea kukuwa kila
siku ,hivi sasa Birdman na Slim maboss wa kundi hilo kum-sign mshiriki wa
shindano la 'America's Got Talent' Sarah
Lenore katika label yao ya Cash Money
record label.
Wednesday, January 16, 2013
Andre 3000 afuta fununu za Outkast kuungana tena, asema remix alizozifanya Big Boi Remixes hazikuwa official
Kundi la
Outkast alijavunjwa rasmi,lakini inaonekana wakali hao hawawezi kurudi na
kufanya kazi pamoja hivi karibuni …
hivi karibuni Big Boi aliweka verse yake kwenye ngoma ya Frank Ocean "Pink
Matter,"ikawa ngoma ambayo original yake kulikuwa na verse ya Andre 3000
.. na pia kukawa na mipango ya kufanya remix ya ngoma ya TI "Sorry," Ngoma
ambayo TIP alimshirikisha Andre 3000..
Cassidy akanusha taarifa za kuwa na kesi ya ubakaji na asema ajisikii kuendelea kum-diss Meek Mill..
Kufuatia kuwepo kwa beef ya rappers wanaotoka sehemu moja Philly namzungumzia
Meek Mill na Cassidy , rapper mwengine
kutoka sehemu hiyo Ar-Ab, alingia katika beef hiyo na kushusha tuhuma nzito
dhidi ya Cassidy
Wakati beef kati Cassidy na Meek
mill ikiendelea rapper huyo kutoka …. Alipost
video ya dakika 40 kwenye youtube akiwa upande wa meek mill na kutoa tuhuma
nzito kwa Cassidy , kuwa anatuhuma za
kubaka na atachukuliwa hatua kwasababu ishu ililirecodiwa ..
Tuesday, January 15, 2013
LADY JAY DEE NA MUMEWE GADNER G HABASH WAMALIZA SALAMA SAFARI YA KUTANGAZA UTALII WA NDANI MLIMA WA KILIMANJARO
Mhifadhi mkuu wa mlima Kilimanjaro
Erastus Lufungulo akimuongoza msanii Lady Jay Dee mara baada ya kushuka
kutoka mlima Kilimanjaro,shoto mwa Jay dee ni mpiga picha wa JayDee,Bw
Justine.
Monday, January 14, 2013
MENEJA WA KUNDI LA PAH ONE AKANUSHA KUSAMBARATIKA KWA KUNDI HILO..
WAKATI kukiwa na tetesi kuwa lile kundi la muziki wa bongo fleva Pah One limevunjika ,
meneja wa kundi hilo amekana ishu hiyo na kudai kuwa kundi bado
Stamina Ft Fid Q .WAZO LA LEO (Audio & lrycs)
Song:
Wazo La
Leo
Artist:
Stamina Feat Fid Q
Studio:
Bongo Records
Producer:
P
funk Majani
Song
Writters:
Stamina (verses) & Fid Q (chorus)
Intro...
U
know what majani??nice to meet you homie
Its
moro town baby,,,shorobwenzi
Verse
1.
(Stamina)
Elimika
nyangema, maisha hayaendeshwi na nguo
Pesa
ni vazi la mgema, haliwezi kuwa na mpasuo
Vaa
uaminifu,tupa boksi la kondomu
Hip
hop haijengwi na bifu,underground usijaze fomu
Maisha
ni kujipanga, mganga usigawe irizi
Viongozi
msizuie ganja, huku mnachukua ushuru wa rizz
Ridhiki
ina kamba, ivute ili ikupe noti
Mkulima
rudi shamba,dec mbegu siku hizi hazioti
Maisha
njia panda,mtembezi chagua pa kwenda
Uchumi
vazi la bwanga,ukishuka uvishe suspenda
Shiba
kwa nia,ukiwa mlafi wa malengo
Usikufuru
we shukuru ukifaulu kila tendo
Punguza
pupa,mpendaji uingie ndoani
Mapenzi
yamevaa bukta,uswazi mapaja hadharani
Usilale
kijinga,kwenye kitanda cha ushamba
Unaweza
kuwa shabiki wa samba,na ukaishi mwembe yanga
Saturday, January 12, 2013
Usher, Alicia Keys & wengine kibao ku- Perform wakati Obama akiapishwa …
Usher, Alicia Keys, John Legend, and
Stevie Wonder, ni baadhi ya majina makubwa yatakayo perform wakati wa kuapishwa
kwa President Obama ..
President Obama inaonekana wazi kuwa
anapenda majina makubwa kuperform katika siku hiyo ya kuapishwa ,pamoja ya
kuwepo kwa wakali kibao inadaiwa Beyonce
ndiye atakaye imba wa taifa wakati wa barrack Obama akiapishwa …
Sherehe hizo ambazo zitafanyika kwa
siku mbili tareh 19 na 21 january zitakuwa na wakali kama Usher,
Alicia Keys, John Legend, Stevie Wonder, Smokey Robinson, Katy Perry, March
Anthony na country star Brad Paisley.
Tukio hilo linatarajia kukusanya
watu zaidi 35,000 japo haijajulikana rasmi ni sehemu gani wasanii hao wakiwemo Mindless
Behavior,na Nick Cannon watafanya hiyo performers kusherehekea President Obama kuongoza marekani kwa msimu
mwingine ..
Friday, January 11, 2013
Beyonce atangaza Project mpya ,kutoka Destiny's Child 'Love Songs' ni mchanganyiko wa ngoma kutoka kwenye albam zao walizozifanya ndani ya miaka nane …
Destiny's Child kupitia
project ya Love Songs .licha ya kuwa beyonce aliachia playlist mwaka
jana ya ngoma zitakazopatika kwenye project hiyo ambayo itajumuisha ngoma zao
zilizowahi kuhit na kulikuwa hakuna
material mpya ..
Thursday, January 10, 2013
Game ampa ushauri wa bure JUSTIN BIEBER ,baada ya kuonekana picha zinazomuonesha akivuta marijuana ….
Baada ya picha za utata kuenea kwenye mitandao zikimuonesha justin bieber akivuta marijuana katika chuma cha "Jesus Piece" rapper Game ametoa maneno ya ushauri kwa young star huyo wa pop na R&B .
Mtandao wa TMZ umeriport kumuuliza Game mawazo yake juu habari hizo za JB kufumwa akitumia marijuana
"Let's keep it real. Kuna watu wengi tena wako kwenye nafasi kubwa ,na wanavuta ganja kidogo sometimes “sisemi ni sahii… lakini bieber amefanya makosa..msameheni..muacheni akuwe na maumivu yake katika maisha ..."
Pia Game akaongeza kuwa kama Bieber kweli anataka kuwa mvutaji ajiandae kuwa addicted ,so hatakiwa kwenda kwenye matatizo makubwa zaidi amesema Game ..
moja kati ya picha zilizomuonesha JB akivuta marujuana ..
Subscribe to:
Posts (Atom)