Baada Walter chilambo Mshindi wa Epiq Bongo Star Search mwaka 2012kupinga
tuhuma nzito za Ney wa Mitego kupitia ngoma yake mpya ya ‘salam zao’ ambapo
kuna lyrics zinasema
''Hizi Salamu ziende kwa Madam Rita na bongo star search.
Mshindi analipwa nini mbona kama
magumashi?!
Namuona Walter Chilambo kapigika km
zamani,
haji ramadhani kachoka yupo kitaani.
Nauliza milioni hamsini zao anazila nani,
acheni ubabaishaji wekeni mambo
hadharan'
Walter amesema kuwa maneno haya hayana ukweli wowote na yeye anaishi vizuri tu na kwa Ney, Hadhani kama alifanya research kabla hajaimba.
Walter amesema kuwa maneno haya hayana ukweli wowote na yeye anaishi vizuri tu na kwa Ney, Hadhani kama alifanya research kabla hajaimba.
Walter amesema kuwa yeye na Ney hawana ukaribu wowote, na walishawahi kukutana akamuuliza
ni kwanini amemuimba vile katika wimbo
wake, Ney alimwambia kuwa 'asipanik' then akapotezea na issue nyingine na kisha
kutimua zake.
sasa Ney wa Mitego Exlusive amezungumza na www.SwahiliInfo.blogspot.com na kuzungumzia issue kadhaa ikiwemo habari ya linex kukataa kufanya chorus ya hiyo ngoma kutokana na alichokiimba lakini pia amezungumzia habari zilipo kwenye mitandao ya kuwa ameachana na girlfriend wake

kuhusu
walter chilambo ..Ney amesema
‘‘siku moja watakuja kuniambia
kwamba asante brother uliongea kitu ambacho labda kimetusaidia ,hicho tu ndo kitu
ambacho naweza kumjibu yeye atakuja kuzungumza siku moja ,atakumbuka shuka
wakati kumekucha mda mrefu ,hii itawasaidia wasanii wanakuja kupitia Bongo star
search’’
kuhusu linex kukataa kufanya
chorus..Ney amesema
‘kama mtu alikataa ni shauri
yake this is my music,huu ni mziki wangu mimi kama yeye anadai alikataa
anasababu zake lakini mimi nimefanya kitu kiko well kiko poa watanzania
wanakipokea na wanakikubali kama alikataa may be ni afadhali.’’
Na kuhusu kuachana na
Girlfriend wake
‘Minarudia kusema kwamba mimi
sijatengana na girlfriend wangu mimi nayeye bado tuko pamoja……………………….
kwa Info zaidi chukua kama
dakika tano kumsikiliza Ney hapo chini .
0 comments:
Post a Comment