Sunday, June 30, 2013

Hit-Boy/Producer alie tengeneza Hits kibao za KanyeWest alijitoa G.O.O.D Music

0 comments
 
Rapper na Producer Hit-Boy ambaye amehusika kutengeneza hits nyingi za Kanye na G.O.O.D music  ameweka wazi maamuzi yake ya kutoendelea kufanya kazi na label ya Kanye G.O.O.D mUSIC .
Hit boy ndie alihuska kuproduce "Niggas In Paris" ya Jay z na Kanye west, "Cold", "I Wish You Would", and "Clique"ambayo ndani yake yupo Big sean ,Jay Z na kanye

Jamaa anasema hajaondoka vibaya na hakuna beef kat yake na kanye “I got nothing but respect for Kanye,but I’m no longer a part of G.O.O.D. Music anymore.” he said. "HS87 is where my heart is,that’s what I’m reppin”.
Hit-Boy kwasasa amejiunga katika label ya Gee Robertson/ Hip Hop Since 1978/Hit-boy anakuwa member wa pili kujitoa G.o.o.D Music kwa mwaka huu baada ya Kid Cudi kujiondoka kwa sababu hizohizo...

Thursday, June 27, 2013

Baada ya kutoka Jela Ja Rule kutoka na Bonge la MOVIE..

0 comments
Ja Rule hivi sasa anapromote movie yake mpya 'I'm In Love With a Church Girl',alioifanya na mtoto mzuri  Adrienne Bailon. Ndani ya hiyo movie Rule amecheza kama jamaa alie amua kuachana na uuzaji wa dawa za kulevya / former drug dealer/ ambaye amechoshwa na maisha aliopitia na ku fall in love kwa msichana wa kanisani kutoka kwenye familia ya dini.Mausiano yao yanakuwa katika wakati mgumu ja rule anapoteza marafiki na anawindwa kutokana na matukio yake ya mtaani aliopitia,inawawia vigumu kujenga mahusiano yao .
Tizama  trailer hapo juu. movie inatarajia kutoka October 18.

Monday, June 24, 2013

Fat Joe kwenda jela Miezi Minne..

0 comments

Fat Joe amehukumiwa kwenda jela kwa miezi minne baada ya kupatikana na hatia ya kukwepa kulipa kodi.
 
Joe alipatikana na hatia December mwaka jana , kwa madai ya kuwepa kulipa kiasi kikubwa cha kodi kinachokaribia dola million 1 kwa mwaka 2007 na 2008 .

Fat joe angeweza kwenda jela miaka miwili kwa kosa hilo lakini amepunguziwa adhabu na sasa ataenda jela miezi minne na kulipa fine ya  dola 15,000 na mwaka mmoja wa kuwa chini ya ungalizi,Fat Joe Anatakiwa kuanza kutumikia kifungo chake August 26. 

Waafrika wanaofanya vizuri katika ligi ya mpira wa kikapu nchini Marekani NBA ....

0 comments
Kuna historia ndefu kwa wachezaji kutoka afrika kuweza kujitengezea jina wenyewe katika ligi kuu ya mpira wa kikapu nchini Marekani maarufu NBA.


Nchi ya Nigeria ndio inayoongoza kwa kuwa na wachezaji wengi katika ligi ya NBA hadi sasa,

Orodha hii inahusisha wachezaji ambao wanacheza kwa sasa katika timu mbalimbali ndani ya ligi hiyo ya NBA.

Hasheem Thabeet

Taifa: Tanzanian

Urefu: 7 ft 3 in

Thabeet siyo mgeni katika mchezo huu wa kikapu ingawa ameingia akiwa amechelewa, ameanza kukiendeleza kipaji chake baada ya kuwa kuanza kuangalia mashindano mbalimbali jijini Dar es Salaam. Amehudhuria katika Chuo Kikuu cha Connecticut. Mwaka 2008 na 2009 amewahi kutajwa kuwa mchezaji wa mwaka na NABC kama mlinzi bora wa mwaka.
 Ni mtanzania wa kwanza kucheza katika lihi hii ya NBA kutajwa kuchezea timu ya Memphis Grizzlies mwaka 2009. Baadaye akachezea timu za Houston Rockets na Portland Trail Blazers kabla hajaenda katika timu ya sasa ya Oklahoma City Thunder. Thabeet ni mchezaji mrefu zaidi katika wachezaji wa NBA. Mwezi November mwaka huu Thabeet ameweka rekodi yake ya kwanza katika mchezo huo kwa double-double akiwa na pointi 13 na rebound 10.

Festus Ezeli

Taifa: Nigeria

Urefu: 6 ft 11 in

Ezeli ametumia muda wake mwingi wa utotoni katika masomo akiwa kwao nchini Nigeria. Ni baada ya kuanza kuishi na mjomba wake nchini Marekani ndipo alipoanza kucheza kikapu, wakati huo akiwa na umri wa miaka 14. Mara ya kwanza kuingia katika mchezo ilikuwa ni kama ajali baada ya kutofahamu na kujikuta akifunga katika goli lake. Ni mwaka 2006 ambapo mwishowe alianza kukaa vizuri katika mchezo huo na mwezi July mwaka 2007 alipata mwaliko kutoka Reebok All-American Camp.
 Wakati huo alikuwa anasoma katika Chuo Kikuu cha Vanderbilt kwa miaka mitatu kabla hajakuwa nyota katika mchezo huo wa kikapu, akiwa na wastani wa pointi 13 na rebound 6.3. msimu huo aliyajwa kuwa namba mbili katika timu ya All-SEC (Southeastern Conference). Kwa sasa anakipiga katika timu ya The Golden State Warriors akiwa na umri wa miaka 23 na amesajiliwa na timu hiyo mwaka huu wa 2012.

DeSagana Diop

Taifa: Senegal

Urefu: 7 ft 0 in

Diop amekulia nchini kwao Senegal, ambako alikuwa anapenda kucheza mpira wa miguu. Ameanza kucheza mpira wa kikapu akiwa na umri wa miaka 15. Alijiunga na masomo ya sekondari katika shule iliyoitwa Oak Hill Academy mjini Virginia, ambako alikuwa anawaongoza kwa kushika namba moja katika orodha ya taifa. Diop alitajwa kujiunga na timu ya Cleveland Cavaliers moja kwa moja akitokea shuleni. 
Amedumu kwa misimu minne akiwa na timu ya Cleveland kabla ya kutimkia timu ya Dallas Mavericks, New Jersey Nets kisha Charlotte Bobcats mwaka 2009 ambako anakipiga hadi sasa. Diop, ambaye ana uwezo wa kuzungumza lugha tano, ni muislamu. Ana akaunti katika mtandao wa mawasiliano ya kijamii wa twitter ambao huutumia kuelezea kuhusu maisha yake hasa watoto wake.

Al-Farouq Aminu

Taifa: America/Nigeria (huiwakilisha nchi ya Nigeria katika mashindano ya kimataifa)

Urefu: 6 ft 9 in

Aminu amepata elimu yake katika shule ya Norcross High School, Georgia shule ambayo hujulikana zaidi kuzalisha wanamichezo. Kibongo bongo hapo ni Makongo. Alikuwa anaiongoza timu ya shule katika kushinda mashindano mbalimbali na amewahi kucheza katika timu ya McDonald's All-American Team. Akiwa chuo alikuwa anachezea Wake Forest. 
Wakati akiwa chuoni mwaka 2009 alikuwa katika timu ya Sporting News All-Freshman. Mwaka 2010 alikuwa chaguo la nane la timu ya LA Clippers. Mwaka 2011 aliuzwa katika timu ya New Orleans Hornets ambako anacheza hadi sasa. Ameichezea timu ya taifa ya Nigeria katika mashindano ya Olympic mwaka 2012.

Bismack Biyombo

Taifa: Congo

Urefu: 6 ft 9 in

Biyombo amegundulika katika mashindano ya vijana yaliyofanyika nchini Yemen wakati huo akiwa na umri wa miaka 16. Ugunduzi wa kipaji chake ukamuongoza kucheza na mhispania Illescas, ambapo aliitwa kuchezea timu ya wakubwa. 
Akadhihirisha kuwa ni mchezaji wa kimataifa kwa timu ya Fuenlabrada. Biyombo aliufanya ulimwengu wote kumtupia macho hasa wale wanaotafuta wachezaji baada ya kuweka rekodi ya kwanza katika kikapu ya triple double (akiwa na pointi 12, rebound 11 na block 10) katika mashindano ya 2011 Nike Hoops Summit. Baadaye mwaka huo huo wa 2011 alichaguliwa kuichezea timu ya Sacramento Kings, lakini akauzwa kwenda timu ya Charlotte Bobcats, ambako anakipiga hadi sasa.

Christian Eyenga

Taifa: Congo

Urefu: 6 ft 7 in

Eyenega alianza kuichezea timu ya kikapu ya nyumbani kwao Congo katika timu ya Onatra Kinshasa. Na haichukua muda mrefu akatimkia nchini Hispania wakati huo akiwa na umri wa miaka 17 na akafanikiwa kujiunga na timu ya DKV Joventut. Baadaye Eyenga akabounce kati ya timu ya Prat na DKV Joventut. Mwaka 2010 aliichezea timu ya Cleveland Cavaliers, mara ya kwanza katika ligi kuu ya NBA kasha akafanya mkataba wa miaka miwili uliokuwa na thamani ya dola 2 million. 

Sunday, June 23, 2013

List ya ngoma zitakazo patikana ndani ya Magna Carta Holy Grail...

0 comments
Jay-Z, Justin Timberlake, Nas and Timbaland in-studio together

Baada ya Jigga kutangaza kutoa Albam mpya Julai 4 Mwaka huu ,list ya track zitakazo patikana ndani ya hiyo albam tayari imesambaa kupitia mitandao ..check out..
1. Picasso Baby
2. Heaven
3. Versus
4. Tom Ford
5. Beach Is Better
6. FuckWithMeYouKnowIGotIt
7. Oceans
8. F.U.T.W.
9. Part II (On The Run)
10. BBC
11. La Familia
12. Jay-Z Blue
13. Nickles & Dimes

Thursday, June 20, 2013

Shabiki Atishia kumuuwa mdogo wake endapo J. cole asipo jibu tweet yake...

0 comments

Shabiki mmoja wa kike wa j cole amejikuta anaingia matatizoni kufuatoa alichokiandika kwenye twetter .

Binti huyo mwenye miaka kumi na tisa alimtweet j. cole na  kumtaka ali Re-tweet ili anunue albam yake mpya ya Born Sinner na asipo Re-Tweet anamuuwa mdogo wake ..

 Nakatika tweet hiyo akaambatanisha na picha inayomuonesha amemuoneshea Gun mdogo wake huyo wa kike ..

sasa kutoka na ujumbe na picha hiyo police pande za Taxes wanamfanyia uchunguzi binti huyo ambaye amedaiwa kuomba msamaa na kusema hakuwa anamaanisha bali ulikuwa ni utani kwa kuwa alijua ni wazi Jcole hawezi ku Re-Twetter Tweet yake

Wednesday, June 19, 2013

Huenda hili ndo likiwa jina la Mtoto wa Kanye na Kim..

0 comments
baada ya jana june 18 Kanye West officially kudrop mtaani albam yake ya sita Yeezus leo hii jina la mtoto wake aliempata na Kim Kardanshian amejulikana jina aliopewa ,mtoto huyo wa kike amepewa jina la "Kaidence.

Tuesday, June 18, 2013

Tarrus Riley amtaka President Uhuru Aandae Free Concert kwa ajili ya Fans wake nchini Kenya...

0 comments
b_350_300_16777215_0_http___niaje.com_wp-content_uploads_2013_06_797104-tarrus-riley.jpg

Tarrus Riley baada ya kushindwa kutokea katika show iliopangwa kufanyika last week end nchini  Kenya ,amemtaka rais wa Kenya Uhuru Kenyata kuandaa show ili yeye na timu yake wadondoke kenya na kutoa burudani ya bure kwa fans wao.

Tarrus ametuma ujumbe huo kupiti video aliojirekoprd akiwa Uberigiji kuwaomba radhi mashabiki wa muziki nchini kenya..

. "We were there since Thursday and didnt sleep until it was time to leave and the business never really started, we would never disrespect you and we dont want to be disrespected"
 amesema To hiyo tarrus katika video,,,itizame hapo chini..

Tuesday, June 04, 2013

MMG watangaza kuja na "Self Made Vol.3"

0 comments
Members wa Maybach Music Group wameungana tena kwa ajili ya"Self Made 3" compilation album.Maybach Music Group wanakuja na albam yao ya tatu katika muendelezo   Self-Made albams .MMG boss, Rick Ross ametumia Twitter kuwafahamisha kuhusu albam hiyo ambayo itatoka rasmi  August 6th.
                                # Check out the money-themed cover art for Self Made Vol. 3 .
Na tayari single ya kwanza imeisha toka kutoka kwa Rockie Fresh track. Listen to "God Is Great"

Tyler The Creator :ndo chanzo cha ugomvi kati ya Bieber na Jilani zake..

0 comments
Last weekend, Justin Bieber aliingia matatizoni akidaiwa kuendesha gari kwa mwendo wa kasi katika makaziya watu ,nakupelekea star wa zamani katika ligi ya  NFL  Keyshawn Johnson,kumfukuzia nakum-bloke akiofia biebz anahatarisha maisha ya watu waeneo hilo kabla bieber kudaiwa kuingia ndani kwake na kukataa kutoka..

Sunday, June 02, 2013

J.Martins Afunga ndoa KimyaKimya..

0 comments

 see_photos_j_martins_quietly_weds3.jpg

 muimbaji na  producer kutoka nigeria week iliopita tarehe30 mwezi huu alifunga pingu za maisha kimya kimya na girlfriend wake wa muda mrefu Nnezi Mbila, na tafrija hiyo ilifanyika Protea Hotel Oakwood in Lekki, Lagos.