Wednesday, February 26, 2014
Exclusive:PNC asema sijadhalilishwaji ila sikujua kama narekodiwa na kupigwa picha.(audio)
Baada ya kuenea kwa picha na video inayomuonesha PNC akiwa
amepiga magoti akimuomba msamaa ustadhi juma na musoma ili aendelee kumsimamia
kazi zake na wengi kutafsiri picha hizo kama ni udharirishwaji kwa msanii
PNC,SwahiliInFoBlog imepiga story na PNC kujua mtizamo wake,
Monday, February 24, 2014
New Music: Chris Brown & Tyga – ‘B******es’
Chris Brown anaonekana kuwa busy sana mwaka huu ,baada ya kutangaza kutoa
albam yake ya X May 5, pia anampango
wa kutoa Fan of a Fan 2,akiwa na Tyga ikiwa ni mwendelezo wa mixtape
yao Fan of a fan walio itoa 2010
Na tayari jamaa wameachia single ya kwanza kutoka kwenye hiyo albam ,ngoma
inaitwa “Bitches,”.
Isikilize hapa….
Friday, February 21, 2014
Video:Drake alivyompokonya Mic diddy on stage ,wadau wasema alimkosea heshima !
Check Drake akimpokonya mic Diddy on stage wakati aki perform Worst Behavior ,na kasha Drake kuweka chini mic aliokuwa akitumia na
kumfanya didy ainame kuichukua .inaonekana mic ya Drake ilikuwa haifanyi kazi
,sasa namna ambavyo drake alichukua mic kutoka kwa didy ni kama alimkosea heshema
hiphop mogel DiDDY ,unaeza toa mawazo yako hapo chini…
Wednesday, February 19, 2014
mcheza miereka Big Daddy Amefariki dunia..
mcheza miereka wa WWE Nelson
Frazier Jr. Big Daddy V amefariki dunia February 18 kutokana
shambulio la moyo nyumbani kwake Memphis, Tennesse.
Alhuda Njoroge A.K.A Huddah Monroe anatarajia kuwa mama...
Mshiriki wa
Big Brother kutoka Kenya Alhuda Njoroge A.K.A Huddah Monroe ambaye amekua haishi kupost picha za utata kwenye
mitandao ya kijamii amesema anataraji kuwa mama hivi karibuni.
Saturday, February 15, 2014
5 Hottest Football Couples (PHOTOS)
Top 10 hottest couples in football
1. Cristiano Ronaldo and Irina Shayk – 18 %
Thursday, February 13, 2014
Tuesday, February 04, 2014
P-Square kutoa albam ya sita mwaka huu
Baada ya kukaa kwa miaka miwili na
nusu bila kuachia albam Peter na Paul Okoye wameamua kufata mfumo ambao
unatumiwa na Davido pamoja Wizkid ambao huachia hit singles na kisha
kutoa albam .
Habari zilizopo hivi sasa Peter na
Paul wamepanga kutoka na albam ya sita mwaka huu ,hapo mwanzo kulikuepo taarifa
kuwa jamaa hawatotoa albam tena .
Kwa mujibu wa msemaji wa P-squere
Bayo Adetu amesema jamaa wataachia single mbili kabla au siku ya valentine na kasha albam itafuatia .
Saturday, February 01, 2014
FA na AY kupanda stage moja na Soulja Boy na Sean Kingston jijini Lancaster, US, April 5?
Kama mipango ikienda sawa, kuna uwezekano The Gladiators (Mwana FA na AY) wakapanda steji moja na Sean Kingston na Soulja Boy kwenye show itakayofanyika April 5, jijini Lancaster, California nchini Marekani.
Subscribe to:
Posts (Atom)