Mkali kutoka Label ya Chocolate City Panchak Zamani, AkA Ice Prince, amesaini mkataba na kampuni kubwa ya kusambazi kaz za wasanii duniani Universal Music Group.
Rapper huyo wa albam ya ‘Fire of Zamani’amesema makubaliano tayari yamesa fanyika kilicho baki ni kutangwa rasmi ,akipanya mahojiano na Pulse Ice Prince amesema ''nimeingia mkataba Universal Music Group ,bado hawajanitangaza rasmi ,wanaanza na wimbo wa ‘I Swear’ track, ambao umepewa kibali UK na kisha nyimbo zingine zitafuata..