Watu katika mji mkuu wa Somalia, Mogadishu wameanza kutumia mtambo wa kwanza kuwahi kutumika wa kutoa pesa mjini humo.
Mtambo
huo wa benki ya Salaam Somali Bank, umewekwa katika hoteli moja na
tayari umeanza kutumika na kuwaruhusu wateja kutoa dola za kimarekani.Tuesday, October 07, 2014
Linah aweka wazi gharama alio tumia ktengeneza video ya Ole Thamba.
Msanii wa kike hapa nchini
Linah amesema alitoa shilingi milioni 49,800,000 na kumkabidhi muongozaji wa
video wa Afrika Kusini, Godfather kushoot video ya Ole Themba.
Subscribe to:
Posts (Atom)