kipindi fulani wakati akon alienda ghana kwa mara ya kwanza ,habari zilieneaa kuwa amemsaini rapper kutoka nchini humo Sarkodie baada ya kuonekana vipande vya video vinavilivyo waonesha wakipiga story ,lakini akon alipo rudi ghana kwa mara ya pili mwaka jana akakanusha uvumi huo
Thursday, March 06, 2014
Rapper kutoka Ghana Sarkodie aelezea kwanini hakujiunga na Konvict music na mipango ya kukutana na Roc Nation..
kipindi fulani wakati akon alienda ghana kwa mara ya kwanza ,habari zilieneaa kuwa amemsaini rapper kutoka nchini humo Sarkodie baada ya kuonekana vipande vya video vinavilivyo waonesha wakipiga story ,lakini akon alipo rudi ghana kwa mara ya pili mwaka jana akakanusha uvumi huo
Davido kutoa albam ya skelewu..
Davido ametangaza rasmi albam ya pili ilioipa jina la SKELEWU hii itakuwa nia albam yake ya pili baada ya albam yake ya kwanza OBO (Omo Baba Olowo)Kufanya vizuri ..
Davido amesema ataachia albam hiyo march 17 akiwa Uk na kuanzia march 28 atakuwa na tour marekani kaskazini
Wednesday, March 05, 2014
Manager wa D'banj athibitisha kuwa D'banj bado yupo G.O.O.D music ya Kanye west..
Week iliyopita
blogs nyingi ziliziliandika kuwa
ushirikiano kati ya Kanye and D’Banj haupo
tena na kanye na faaida alioipata D banj baada ya kujiunga na label ya Kanye west
G.O.OD Music ni Kanye kutokea kwenye video yake ya Oliver Twist na kufanya
verse kwenye wimbo wa Scapegoat remix na d banj kuonekana kwa dakika zisizo
fika tatu kwenye video ya Mercy .
Mwanasoka Mikel Obi aingia kwenye tasnia ya filamu ,kufanya movie na Genevieve Nnaji..
Mwanasoka
Mikel Obi aingia kwenye tasnia ya filamu ,kufanya movie na Genevieve Nnaji
Habari hizi
zimekuja siku chache baada ya mwanasoka Mikel Obi anaechezea Chelsea na
muigizaji huyo wa Nollywood kuonekana katika picha wakisafiri kwa ndege binafsi
kwenda south afrika.
Wednesday, February 26, 2014
Exclusive:PNC asema sijadhalilishwaji ila sikujua kama narekodiwa na kupigwa picha.(audio)

Baada ya kuenea kwa picha na video inayomuonesha PNC akiwa
amepiga magoti akimuomba msamaa ustadhi juma na musoma ili aendelee kumsimamia
kazi zake na wengi kutafsiri picha hizo kama ni udharirishwaji kwa msanii
PNC,SwahiliInFoBlog imepiga story na PNC kujua mtizamo wake,
Monday, February 24, 2014
New Music: Chris Brown & Tyga – ‘B******es’
Chris Brown anaonekana kuwa busy sana mwaka huu ,baada ya kutangaza kutoa
albam yake ya X May 5, pia anampango
wa kutoa Fan of a Fan 2,akiwa na Tyga ikiwa ni mwendelezo wa mixtape
yao Fan of a fan walio itoa 2010
Na tayari jamaa wameachia single ya kwanza kutoka kwenye hiyo albam ,ngoma
inaitwa “Bitches,”.
Isikilize hapa….
Friday, February 21, 2014
Video:Drake alivyompokonya Mic diddy on stage ,wadau wasema alimkosea heshima !
Check Drake akimpokonya mic Diddy on stage wakati aki perform Worst Behavior ,na kasha Drake kuweka chini mic aliokuwa akitumia na
kumfanya didy ainame kuichukua .inaonekana mic ya Drake ilikuwa haifanyi kazi
,sasa namna ambavyo drake alichukua mic kutoka kwa didy ni kama alimkosea heshema
hiphop mogel DiDDY ,unaeza toa mawazo yako hapo chini…
Wednesday, February 19, 2014
mcheza miereka Big Daddy Amefariki dunia..
mcheza miereka wa WWE Nelson
Frazier Jr. Big Daddy V amefariki dunia February 18 kutokana
shambulio la moyo nyumbani kwake Memphis, Tennesse.
Alhuda Njoroge A.K.A Huddah Monroe anatarajia kuwa mama...
Mshiriki wa
Big Brother kutoka Kenya Alhuda Njoroge A.K.A Huddah Monroe ambaye amekua haishi kupost picha za utata kwenye
mitandao ya kijamii amesema anataraji kuwa mama hivi karibuni.
Saturday, February 15, 2014
5 Hottest Football Couples (PHOTOS)
Top 10 hottest couples in football
1. Cristiano Ronaldo and Irina Shayk – 18 %
Thursday, February 13, 2014
Tuesday, February 04, 2014
P-Square kutoa albam ya sita mwaka huu
Baada ya kukaa kwa miaka miwili na
nusu bila kuachia albam Peter na Paul Okoye wameamua kufata mfumo ambao
unatumiwa na Davido pamoja Wizkid ambao huachia hit singles na kisha
kutoa albam .
Habari zilizopo hivi sasa Peter na
Paul wamepanga kutoka na albam ya sita mwaka huu ,hapo mwanzo kulikuepo taarifa
kuwa jamaa hawatotoa albam tena .
Kwa mujibu wa msemaji wa P-squere
Bayo Adetu amesema jamaa wataachia single mbili kabla au siku ya valentine na kasha albam itafuatia .
Saturday, February 01, 2014
FA na AY kupanda stage moja na Soulja Boy na Sean Kingston jijini Lancaster, US, April 5?
Kama mipango ikienda sawa, kuna uwezekano The Gladiators (Mwana FA na AY) wakapanda steji moja na Sean Kingston na Soulja Boy kwenye show itakayofanyika April 5, jijini Lancaster, California nchini Marekani.
Subscribe to:
Posts (Atom)

