Monday, August 12, 2013

Mke WA ZAMANI WA NELSON MANDELA 'WINNIE MANDELA'APINGA MOVIE ILIOFANYWA NA JENNIFER HUDSON..

0 comments


Mke wa zamani  wa rais wa kwanza muafrika nchini afrika kusini Nelson Mandela,
Winnie Mandela,amesema anahisi movie mpya kutoka  Hollywood  ambayo
 imefanywa na muimbaji Jennifer Hudson na star wa filamu  Terrence Howard 
imemkosea heshima .

Thursday, August 08, 2013

TIZAMA MUONEKANO MPYA WA BEYONCE BAADA YA KUKATA NYWELE..#SHE IS HOT !

0 comments
Beyoncé
Boyonce amekata nywele zake siku chache baada ya kuenea video clip katika mitandao iliomuonesha  amenaswa nywele zake katika feni akiwa on stage katika moja ya show ya tour yake “Mrs. Carter Show World Tour”

Nicki minaj amjubu Rapper aliesema alikuwa akimwandikia mashairi..

0 comments
Image: Nicki Minaj & Ransom: Back & Forth on Twitter Over Ghostwriting

Nicki Minaj amemtolea uvivu rapper kutoka  New Jersey  Ransom,ambaye alidai alikuwa akimuandikia mashairi Rapper huyo wa kike kutoka YMCMB.

Wednesday, August 07, 2013

DIAMOND AKWAMA NCHINI KENYA KUTOKANA NA MOTO JKIA.

0 comments
 IMG-20130807-WA0019
tukio la moto lililotokea katika uwanja wa ndege wa kimataifa JKIA nchini kenya,limesababisha msanii wa bongoflava Diamond kushindwa kurudi bongo kwa wakati akiwa njiani kutokea South Africa aliko enda kufanya video..

VIDEO :TIZAMA LIVE KINACHOENDELEA KATIKA UWANJA WA NDEGE (JKIA)NCHIN KENYA ,LIVE VIDEO STREAM.

0 comments


Tizama live coverage inayofanywa na kituo cha TV cha NTV katika moto uliowaka kwenye uwanja wa ndege (JKIA) Jomo Kenyatta International Airport.

wangechi mutu mkenya alie tokezea kwenye video ya jay Z PICASSO BABY..

0 comments


Mkenya anaeishi New york Marekani Wangechi Mutu ambaye ni msanii wa michoro ametokezea katika video mpya ya Jay Z ,PICASSO BABY kutoka kwenye albam yake mpya ya Magna Carter Holy Glail..

Tell a friend 2 tell a Friend.... It gonna Happen on 16th Aug ... @ New Msasan Club!!

0 comments

MFAHAMU DADA WA DAMU WA MWANASOKA 'CHRISTIAN RONALDO' ANAEFANYA MUZIKI.

0 comments
 
Dada wa damu wa mwanasoka ghali zaidi duniani Cristiano Ronaldo amesaini mkataba mnono wa kutengeneza albam yake ya kwanza ya muziki na kampuni ya utayarishaji ambayo hufanya kazi na wasanii wakubwa kama Lady Gaga na J-LO.

Tuesday, August 06, 2013

Maria Sharapova aongoza orodha ya Forbes ya wanamichezo wa kike wanaoingiza fedha zaidi duniani..

0 comments

France Tennis French Open
Forbes wametoa orodha ya wana michezo 10 wa kike duniani walioingiza fedha nyingi zaidi mwaka 2013. Orodha hiyo yenye wacheza tennis wengi, inaongozwa na Maria Sharapova. anaekadiliwa kuingiza dola million 29.

Nazizi atoa collaboration albam na Ginjah kutoka Jamaica.

0 comments


Rapper mkongwe Africa mashariki Nazizi kutoka nchini Kenya ameachia albam mpya 
ikiwa  ni collabo na muimbaji kutoka Jamaica Ginjah ambaye alikuwa nchini Kenya 
mwaka jana kwa ajili ya kushoot video .

Monday, August 05, 2013

T.I ATISHIA KUMCHOMA KISU RAIA.

0 comments
T.I. Celebrities Visit SiriusXM Studios - June 17, 2013

Inavyoonekana T.I huenda akaingia matatizoni tena ,fununu zinasema weekend iliyoisha akiwa DC na 2 Chainz na  Lil Wayne kwenye tour ya  “America’s Most Wanted” alitaka kumchoma mtu kisu  akiwa eneo la parking ya night club

Sunday, August 04, 2013

Rapper alieanzisha biashara ya condom na boxes sasa anauza vikombe pia..

0 comments





 Rapper anazungumziwa sana nchini kenya kwa hivi sasa Octopizzo amezidi kujikita katika biashara baada ya kuanzisha biashara ya Condoms ,Boxies za vitenge,clothing line na Tour Company sasa ameanza kuuza vikombe vyenye jina na picha yake kwa nje..

Thursday, August 01, 2013

Uruguay kuhalalisha utumizi wa Bangi

0 comments

Bangi

Bunge la Uruguay limepitisha mswada wa kuhalalisha bangi. Ikiwa mswada huu utapitishwa na Baraza la Senate, Uruguay itakuwa nchi ya kwanza kuhalalisha uzalishaji na utumiaji wa bangi.
Hatua hii inaungwa mkono na serikali ikisema itapunguza mapato na faida kubwa kwa walanguzi wa mihadarati pamoja na kuwafanya watumizi wa bangi kutotumia dawa kali za kulevya.Chini ya mswada huo ni serikali pekee itakua na kibali cha kuuza bangi..

Wednesday, July 31, 2013

DJ KHALED AKUBALI KUWA ULIKUWA NI UTANI KUMTAKA NICKI MINAJ.

0 comments



Baada ya kushikilia msimamo wake kuwa yupo serious kutaka kumuoa nicki minaj kufuatia interview alioifanya na MTV news, hatimaye Dj Khalid amekili kuwa alikuwa anafanya utani .