Chris Brown ameachiwa huru baada ya
kuonekana hana hatia kufuatia tukio lilotokea jumapili oct 27 pande za Washington, D.C.
C breaze na bodygued wake walitiwa
hatiani kwa madai ya kumpiga ngumi shabiki na kumsabanishia mpasuko ndani ya
pua
Katika utetezi wake chris Brown amesema
hakumpiga huyo jamaa ila akiwa kwenye tour bus jamaa wakati akitaka nayeye
kupanda nipo bodyguard wake alipo fanya
kazi yake
Chris Brown ametakiwa kukaa umbali
wa mita 10 na jamaa aliedai kushambiliwa katika tukio hilo
Kama c brown angepatikana na hatia
angeweza kwenda jela miaka mine kwa kuwa bado yupo kwenye probation kutokana na
kosa la kumpiga rihana mwaka 2009
TIZAMA VIDEO INAYOMUONESHA CHRIS BROWN AKITOKA JELA