Mwaka 2007 Ja Rule alipatikana na hatia ya kutumia
silaha kinyume na sheria akajikuta akienda jela kwa miaka miwili na kutoka mwezi
wa tano mwaka huu.
Katika interview alioifanya na
mtandao wa TMZ Ja Rule ukiacha vitu vyote alivyopitia jela sawa la chakula
halikuwa tatizo ..
"It's not too good," said Ja, before
adding, "You get packages and stuff like that. You can eat decent enough.
I ate everything. In jail we was pretty crafty. We made lasagna, we made
cheesecakes."
Amesema chakula hakikuwa kizuri sana
hivyo walikuwa wakijipikia aina tofauti za vyakula ..
0 comments:
Post a Comment