Wakongwe wawili katika music Nas na Tyrese wakuja
na Movie Black Nativity ambayo imeingia rasmi kwenye stores leo
Nov 27 Movie hiyo imewashirikisha wakali wengine
katika music kama Jennifer Hudson na Mary J Blige.
Kwenye mahojiano yake ya kwanza mara baada ya kuachiwa toka gerezani kwa kuhusishwa na kifo cha nguli wa muziki wa pop duniani Michael Jackson, Dokta
Conrad Murray alielezea kwenye mahojiano aliyofanya na The Mail kwamba, Michael hakuwa baba wa hata mtoto wake mmoja, aliathiriwa na madawa kiasi cha kufikia hatua ya kuhitajika kuwa anavaa condom sababu mkojo ulikuwa unatoka wenyewe kwenye uume wake.
hizi ni picha za lil kim ambazo zimeleta gumzo kwenye mtandao ,imeshindwa kueleweka kama ni fashion au aliamua kutengeneza headlines kwa kuvaa nusu uchi on stage pande za london ijumaa iliopita..
click >>> read more ni kwa waliozidi umri 18 tu..
Muimbaji raia wa Nigeria Tiwa Savage jana Nov 23 amefunga ndoa ya kiasili na mchumba wake wa muda mrefu ambaye pia ni Manage wake Olandunji balogun aka Tee Billz..
baada
ya peter msechu kupost ujumbe huo hapo chini kwenye instragam na kisha
kutafsiliwa kama ni diss ya wimbo mpya wa Ney wa Mitego NAKULA UJANA ,na
kupelekea blog nyingi nchini Tanzania kuandika habari hii kwa vichwa
vya habari vilivyosomeka "Peter Msechu Audiss mwimbo mpya wa Ney wa mitego
hatimaye member wa kundi la P squere Peter Okoye amefunga ndoa ya kiasili na mchumba wake Lola Otayo jana jumapili na sherehe kuhudhuliwa na mastaa kibao wa musiki pamoja na filamu.
habari ambazo mtandao huu umezipata Dakta John wa wagosi wa kaya amefiwa na mke wake Josephine mwishoni mwa week iliopita mkoani Tanga..
Rapper Roma kutoka Tanga alimpa pole Dokta John kupitia Twitter
sababu za kifo cha cha mke wa docta john hakijajulikana ,SwahiliInfo.blogspot.com tunatoa pole kwa familia nzima ya Docter john
Rapper kutoka kiwalani Darasa anakuja na Kanda Mseto [Mixtape] Yenye nyimbo 19 Aliyoipa
Jina La "Dream Big - ChapaKazi " . Mixtape imewashirikisha
Shilole, Ngwear, Akiba, Bandana, Jux, Suma Lee, One Da Icredible Na
Wengine Wengi.
Rapper
Young Jeezy ameujia juu uongozi wa wa label inayosimamia kazi zake Island Def
Jam na Universal Music Group kwa
kushindwa kuweka wazi tarehe rasmi ya kutoka kwa albam yake mpya mpaka sasa.
Young Africans Sports Club almaraafu kama Yanga imefanikiwa kumsaninisha mkataba wa miaka mitatu kiungo Hassan Saleh Dilunga kutoka timu ya Ruvu Shooting ambapo mchezaji huyo ataanza kuitumikia timu yake mpya katika mzunguko wa pili wa Ligi Kuu.
Usajili wa kiungo Hassan Dilunga unakua ni usajili wa pili kwa klabu ya Young Africans katika kipindi cha dirisha dogo baada ya mwishoni mwa wiki kukamilisha kumsajili mlinda mlango Juma Kaseja.
The king of bling has now opened up about his relationship with socialite Huddah Monroe saying Huddah “is like a Government property”,and “has slept with almost the whole world” are some of the reasons he didn't want to date her.
“We got together like three times and I think she really liked what she got. I’m addictive and so she could not let go,” said the MMG boss in an interview.
Prezzo claims that Huddah is only bitter because he did not want to settle down with her and has been harassing all the women he dates.
“Huddah is like government property. She has slept with almost the whole world. Do you think the president would settle for such a woman? I never respond to her, but you may have noticed she attacked Goldie and Tanzania’s Diva.” Claims the rapper.
Sigara za kieletroniki , kifaa ambacho kinatumia betri uchochea uvutaji kwa kuchemsha na kufanya kimiminika kilichochanganywa na nikotini kuwa mvuke na mvutaji uvuta mvuke huo badala ya moshi kama ilivyo katika sigara za kawaida . utumiaji wa sigara hizi umekuwa ukiongezeka kwa kasi na kubadilisha utengenezaji wa tumbaku.
This is the special party
for the Graduands from Ruaha University College, their families,
continuing students of RUCO and nearby Universities& Colleges and
the society in general of Iringa town and other nearby Places, to
celebrate with the GRADUANDS for their Victory of being
graduates......It is the moment where farewell hand will be given to
graduands and the remaining majority within the college and the society
at large.....Tell her/him to tell him/her so that You come all.....
Miley Cyrus amekuwa na umaarufu mwenye utata tangu alipo anza
kupata fans wa muziki duniani kote
Picha zilizoenea kwenye mitandao zinamuonesha muimbaji huyo wa
miaka 20 akiwasha kitu kilichozaniwa ni bangi wakati wa utoaji wa tuzo za MTV
Europe Music siku ya jumapili.
Rappers
wawili kutoka Kenya Madtraxx and Prezzowatashiriki katika mixtape mpya ya American hip-hop
artiste and DJ, DJ Drama. DJ drama amesha wahi kufanya kazi na wasanii wakubwa
marekani kama , lil wayne, Ti, Ludacris na wengine kibao
The Game mapema
week iliopita alipost picha Instagram akiwa na
Tupac,lakini haikuchukua muda ikafamika ni picha ya kutengeneza ,ishu
hii ilifanya fans wake wafiria kuwa rapper huyo kutoka Compton anataka kuwadanganya kuwa alishakutanana na 2 pac kabla ya kifo chake .
Seems likeIce Princehas a lot of good things going for him at the moment. His newly released album“Fire Of Zamani”has been getting a lot of positive remarks from fans and industry friends within the country and in the diaspora. Meek Mill took to his twitter page to show Solidarity to his friend, Ice Prince urging his fans to also get the album off iTunes.
"Shout out to my African "aboki" @Iceprincezamani. da biggest African artist just released the most anticipated album". He tweeted
Mkali wa Hold on we’re going home drake ametangaza kuuza (condo )apartment yake
iliopo kwao Toronto Canada kwa kiasi cha dola milion $3.75 ,
Apartiment hiyo inadaiwa kuwa na vitu vya dhamani
kuanzia furniture na kuna private
elevator , valet and guest parking, indoor pool, exercise room, party room, vyumba
vya wageni na sehemu ya kuoshea magari car wash .