
Rapper kutoka kiwalani Darasa anakuja na Kanda Mseto [Mixtape] Yenye nyimbo 19 Aliyoipa
Jina La "Dream Big - ChapaKazi " . Mixtape imewashirikisha
Shilole, Ngwear, Akiba, Bandana, Jux, Suma Lee, One Da Icredible Na
Wengine Wengi.

Na hii ndio single ya kwanza kutoka kwenye hiyo mixtape ,Mikono Juu ft Mchizi Mox na Shilole
0 comments:
Post a Comment