Albam hiyo ni ya tano kama solo ameipa jina la “Beyonce” akiwa na track 14 pamoja na video zake.
Akiitambulisha albam hiyo kupitia clip ya video amesema ameamua kuachia albam hiyo yenye track na video nyingi kwa wakati mmoja bila kuwaweka fans wake tayari ,
‘/sitaki kuachia music wangu kama nilivyozoea kufanya ,nimeboreka kufanya hivyo ,nahisi niko tayari kuzungumza na fans wangu moja kwa moja ,si kutaka mtu yoyote atoe ujumbe wakati albam yangu inatoka ,nilitaka hii itoke wakati ipo tayari kutoka kwangu kwenda kwa mashabiki’/amesema bay
Baadhi ya videos hizo Beyonce amedirect na alizishoot wakati akifanya Tour ya Mrs Carter . Location zilizotumika ni pamoja na beach za Brazil, mtaa ya New Yorkna Los Angeles, Paris, Houston, TX, na sehemu zingine kibao
Watu walioshirikishwa ni pamoja na Drake kwenye track ya (“Mine”), Frank Ocean (“Superpower”),na pia amemshirikisha mwanae Blue Ivy (“Blue”)
Of course,mumewe Jay-Z pia amhusika kwenye wimbo wa “Drunk in Love,”Michelle Williams na Kelly Rowland pia wamo Justin Timberlake na Pharrell.
Albam hiyo exclusive inapatikana na iTunes.
tracklist:
1. Pretty Hurts
2. Haunted
3. Drunk in Love (feat. Jay Z)
4. Blow
5. No Angel
6. Partition
7. Jealous
8. Rocket
9. Mine (feat. Drake)
10. XO
11. ***Flawless (feat. Chimamanda Ngozi Adiche)
12. Superpower (feat. Frank Ocean)
13. Heaven
14. Blue (feat. Blue Ivy)
0 comments:
Post a Comment