hiyo ni post ambayo mkongwe wa muziki wa kizazi kipya nchini Prof Jay aliiweka kupitia account yake ya Istagram akiwa studio na Diamond pamoja na Producer P - Funk wakitengeneza ngoma,bila shaka kila mtu anahamu ya kusikia hiyo ngoma pindi takapo toka ..
0 comments:
Post a Comment