Kiongozi wa Taylor Gang Wiz Khalifa amefanikiw kwa mara ya kwanza albam yake kukamata nafasi ya kwanza kwenye Billboard 200
wiki hii
Albam hiyo ambayo ni ya tatu kuitoa
inaongozwa na single ya “We Dem Boyz,”inaitwa Blacc Hollywood imefanikiwa kuuza nakala 90,000 katika week yake ya kwanza
Japo mauzo ya wiki ya kwanza ya
albam hii yapo chini ukilinganisha na albam zake zilizopita albam yake ya
kwanza mwaka 2011 Rolling Papers (No. 2, 197,000) ya mwaka 2012 O.N.I.F.C. (No. 2, 148,000).
Wiz Khalifa alitweet kuhusu furaha
alionayo baada ya taarifa hizo
“Number 1 album on they ass. Thank
you taylors,” tweeted Wiz. “Honestly we’ve been waiting for this day for a very
long time. I cant thank you enough.”
.
0 comments:
Post a Comment