baada ya kuvuja kwa video inaonesha Jay Z akipigwa na mdogo wake Beyonce, Solage wakiwa ndani ya lift baadhi ya wasanii wametoa maoni yao juu ya sakata hilo ambalo limechukuua Headline karibia kila chombo cha habari..
Tuesday, May 13, 2014
wasanii wazungumzia sakata la Jay Z na Solange
baada ya kuvuja kwa video inaonesha Jay Z akipigwa na mdogo wake Beyonce, Solage wakiwa ndani ya lift baadhi ya wasanii wametoa maoni yao juu ya sakata hilo ambalo limechukuua Headline karibia kila chombo cha habari..
Video: Mdogo wake Beyonce ampiga Jay Z ndani ya Lift
Jay Z alijikuta akishambuliwa na mdogo wake Beyonce anaejulikana kwa jina la Solange wakati wakiwa ndani ya lift.
Beyonce, Jay Z na Solange walikuwa wakitoka kwenye After Party huko New York iliyofanyika Standard Hotel. Solange alimshambulia Jay Z kwa Mateke na makofi huku Beyonce akiwa amesimama anaangalia wakati Jigga akijaribu kujilinda.
Sababu ya Solange kufanya tukio hilo bado haijafahamika.
Monday, May 12, 2014
Obama ampongeza mchezaji wa American Football aliejitangaza hadharani kuwa na tabia za ushoga
Mchezaji mmoja wa timu ya ligi ya American Football
(National Footbal League), Michael Sam amekuwa mchezaji wa kwanza wa
mpira wa miguu kutangaza kuwa anajihusisha na tabia za ushoga.
Sam alikuwa ameteuliwa na timu ya Saint Louis Rams katika siku ya mwisho ya usakaji wa vipaji katika mchezo huo ulio maarufu zaidi nchini marekani.
Sam alikuwa ameteuliwa na timu ya Saint Louis Rams katika siku ya mwisho ya usakaji wa vipaji katika mchezo huo ulio maarufu zaidi nchini marekani.
Hermy B aandika barua ya wazi inayoeleza kwa kina yaliyotokea B'Hitz na mpango wao mpya, 'It's a new Chapter'
Producer na CEO wa Bhitz Music Group, Hermy B ameandika
barua ya wazi akielezea yaliyowahi kutokea Bhitz, uamuzi na mpango wao
mpya.
Donald Sterling aomba radhi kwa ubaguzi wa rangi, anaamini alitegwa na mpenzi wake 'nilitegwa kuingia kwenye kosa kubwa'
Mmiliki wa Clippers, Donald Sterling ameomba radhi kwa kosa alilofanya la kutoa matamshi ya kibaguzi dhidi ya watu weusi wakati akiongea na mpenzi wake kwa njia ya simu wiki kadhaa zilizopita na maneno yake kurekodiwa na kusambazwa.
Saturday, May 10, 2014
Mabadiliko: The Jump Off ya Times Fm kucheza asilimia 90 nyimbo za wasanii wa Tanzania siku zote
Kipindi cha The Jump Off cha 100.5 Times Fm kimefanya mabadiliko katika upigaji wa muziki wake ambapo kimeamua kujikita zaidi katika muziki wa Tanzania kwa asilimia 90 na asilimia 10 tu zitasikika nyimbo za nje ya Tanzania.
Rais Kikwete afanya mazunguzo na Samatta na Ulimwengu nchini Congo..
Na Mahmoud Zubeiry, Dar es Salaam
RAIS wa Jamhuri ya Muungano Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete leo
amewatembelea washambuliaji wawili Watanzania wanaocheza TP Mazembe ya Jamhuri
ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Mbwana Ally Samatta na Thomas Emannuel Ulimwengu.
Thursday, May 08, 2014
Michelle Obama, Drake, Angelina Jolie wajiunga kwenye kampeni ya #BringBackOurGirls
Mke wa rais wa marekani Michalle Obama amejiunga na Watu maarufu duniani katika kampeni ya #BringBackOurGirls kushinikiza kuachiwa kwa wasichana ambao ni wanafunzi zaidi ya 200 walitekwa nchini Nigeria na kikundi cha Boko Haram tangu April 14, 2014.
VIDEO :Rapper Scarface amesema haoni sababu ya Donald Sterling kuomba msamaa baada ya kitendo chake ubaguzi ..
Baada ya chama cha mpira wa kikapu nchini marekani NBA kumfungia maisha mmiliki wa timu ya kikapu L.A clippers Donald Sterling ,baada ya kupatikana na hatia ya ubaguzi kufuatia kuvuja kwa mazungumzo yake na mpenzi wake V. Stiviano akimwambia hataki kuona akipeka watu weusi katika michezo yake ,kufuatia kitendo hicho watu wengi wamekuwa wakimtaka Sterlin aombe msamaa lakini imekuwa kinyume kwa rapper Scarface .
Wednesday, May 07, 2014
MFAHAMU MWANAMKE WA KWANZA KUWA KOCHA WA KLABU YA LIGI KUBWA ULAYA.
KLABU ya Daraja la Pili Ufaransa, Clermont Foot imemuajiri mwanamama Helena Costa kuwa mocha wao mpya.
Mama huyo mwenye umri wa miaka 39 atakuwa mocha wa kwanza wa kike kuongoza timu ya maharaja mawili ya juu katika Ligi za Ulaya.
Costa kwa sass
ni mocha wa timu ya taiga ya wan awake ya Iran ambaye awali alifundisha
timu za wan awake za Qatar na Benfica. Pia amewahi kufanya kazi na
mabingwa wa Scotland, Celtic.
Audio: Profesa Jay asema wasanii wengi wapya wanaofanya vizuri hawawaheshimu wasanii wakongwe
Profesa Jay ni moja kati ya wasanii walioleta mapinduzi makubwa kwenye muziki wa kizazi kipya na kuwashawishi watu wengi waupende na kuusikiliza mwishoni mwa karne ya 20.
Rapper Rich Hommie adondoka kwa kifafa..
Rapper Rich Homie Quan jana jumanne jioni alilazimika kukimbizwa hospitali baada ya kupata kifafa (seizures) na kudondoka wakati akifanya video huko Atlanta.
Jay Jay Okocha amesaini mkataba wa kuwa balozi wa kinywaji cha Bullet Energy ..
Mwanasoka mkongwe Austin ‘Jay Jay’ Okocha amesaini mkataba wa kuwa balozi wa kinywaji cha Bullet Energy ,mchezaji huyo wa zamani wa Bolton Wanderers FC ameungana na muigizaji wa kike Chika Ike katika dili hilo ambaye sura yake imekuwa kitumika kukitangaza kinywaji hicho .
Tuesday, May 06, 2014
VIDEO:Tyrese aponda reality Tv shows asema zinachangia kuharibu mahusiano..
Tyrese
amesema blogs ,vyombo vya habari na reality TV vinaharibu mahusiano ya wapenzi
wengi kwa kuwa vimeegemea kwenye upande wa mabaya na kutalakiana kuliko kumulika mazuri katika
mahusiano ya ndoa.
Thursday, May 01, 2014
BAADA YA DOMAYO NA KAVUMBANGU KUSAJILIWA NA AZAM FC ,YANGA YATOA TAMKO..
Subscribe to:
Posts (Atom)
