Drake na Chris Brown wamedhibisha
kuwa wamefuta beef yao baada ya kuonekana pamoja katika kipande cha video ya
kichekesho ilio onekana wakati wa utoaji wa tuzo za wanamichezo walio fanya
vizuri mwaka 2014 ESPYS.
Utoaji wa tuzo hizo za Exellence sports yearly award (ESPYS)ambazo
uandaliwa na ESPN ulifanyika jana jumatano.
Ikumbukwe kuwa chris brown na Drake
siku chache zilizopita walionekana pamoja wakiwa studio.
0 comments:
Post a Comment