Monday, July 14, 2014

Rick Ross atoa tamko baada ya Meek Mill kwenda jela..

http://youheardthatnew.com/wp-content/uploads/2014/07/meek.jpg
Baada ya kuripotiwa kuwa rapper meek mill atakaa jela kwa kipindi kisicho pungua miezi mitatu mpaka sita na huenda akashindwa kusherehekea kuachiwa kwa albam yake  ya Dreams Worth More Than Money akiwa  huru kupokana na kukiuka kipindi  cha matazamio boss wa MayBackmusic ametoa tamko kuhusu tukio hilo.

Kwa mujibu wa You Heard That New Rick Ross ambaye ni Boss wa Meek kupitia label ya MMG amema msanii akisha saini MMG ya familia na wanashiriokana kwa mazuri au mabaya.
“ Nilianzisha MMG miaka kadhaa ilipita,ili kutoanafasi kwa wasanii mwenye vipaji duniani kuonekana na kusaidiwa ,nikaamua kuwa ni lazima kuwasaidia hawa wasnii kwa mazuri na mabaya ,kwa kila mmoja ambaye amsign  MMG sio tu kama msanii bali ni mwanafamilia , my brother, Meek Mill ameingia katika matatizo ya kisheria . inatokea  hivi sasa timu yake ya na tumu yetu tunasimamia swali hili haraka iwezekanavyo .albam yake inakuja ,tunataka mashabiki na vyombo vya habari kuendelea kumpa ushirikiano yeye pamoja na muziki wake ,na atarudi nyumbani hivi karibuni 'reams Worth More Than Money”, and family is worth more than Everything. MMG FOR LIFE.” amesema Rick Ross.

Meek Mill anadaiwa kukiuka kipindi cha maangalizi kwa kufanya show,kubadili namba ya simu bila kutoa taarifa kwa maafisa wanao mtizama laikini zingine zinasema picha alioipost istagaram akiwa ameshika bunduki imechangia kuingia matatani
Albam ya Meek Mill  , Dreams Worth More Than Money, inatarajia kutoka september lakini huende akawa bado jela kutokana na kukiuka kipindi hicho cha maangalizi kutokana makosa ya kutumia silaha na madawa makosa aliokutwa nayo mwaka 2009.


0 comments: