Thursday, June 19, 2014

chanzo cha beef ya T.I na rappe wa kike rapper wa kike Azealia Bank

 
Hisasa kuna beef kat ya Rapper T.I na rapper wa kike Azealia Banks
beef yao ilinza baada ya T.i kutoa wimbo wa “No Mediocre ambao amefanya na Iggy azalea

wimbo ambao T.I anavutiwa na wasichana wazuri duniani
baada ya huo mwimbo kutoka Azealia Banks alitwit “You want no mediocre…but have you seen your wife?”
yani nikama alikuwa namwambia T.I unasema hupendi wasichana wasio wazuri ,vipi umeshamuona mke wako ?


T.i akamjibu kupitia instagram If u speak ill of my family again….. I WILL END YOU
ukizungumza vibaya kuhusu familia yangu ntakumaliza .
waliendelea kurushiana maneno kupitia mitandao ya kijamii ..
sasa beef imechukua sura mpya baada ya TMZ kukutana na T.I mtaani na kumuuliza kuhusu hii ishu ya jamaa kama tunavyojua ni mtata
kamwambia Azealia Banks kama akizungumzia familia yake kwa mara nyingine tena atamtoa koromeo kwenye shingo yake
“unaweza kusema chochote kuhusu mimi ,lakini ukisema chochote kuhusu familia yangu ,man ntakuja kwako na sito kuwa na huruma
ntakutoa koromeo kwenye shingo yako kwasababu natakiwa kutunza heshima ya familia yangu,
 “Just leave me and my family alone,” kama unatatizo na mimi sema unachotaka kusema kuhusu mimi ,na usiihusishe familia yangu,
 Banks naye ameonekana mbishi hajakaa kimya kupitia twetter kaandika  watu wote wanajua unamiaka 40 na unawatoto ambao wanaishi kwa wasiwasi kwasababu huwezi kukaa nje ya jela   “You’ll be back in Jail soon.”
“Speak with actions. #HustleGang,” tweeted Tip, while Banks told him to “suck a dick.”

0 comments: