kwa mujibu wa BuzzFeed, Ocean amewatimua Christian na Kelly Clancy ambao ni wafanyakazi wa kampuni ya 4 Strikes Management,jamaa ambao pia wanawasimamia wasanii wengine kama Tyler, the Creator, Solange, na Mac Miller kwa kigezo kuwa anataka kuendesha kazi zake kwa muelekeo mwingine licha ya kuwa ni nani atakuwa manage wake.
Frank Ocean anatarajia kutoa albam yake ya tatu mwishoni mwa mwaka huu.
0 comments:
Post a Comment