Jay Z
ameonesha kuvutiwa na maisha ya kistar anayoishi mkewe beyonce na kumshahuri Rihana kufuta picha mbaya alionayo na kuanza kuvaa na kuishi kama Queen Bey.
Chanzo cha habari kumeeuambia mtandao wa Dish Nation kuwa Jay Z ambaye ndiye alivumbua kipaji cha Rihana miaka karibia 10 iliyopita na kumsaini katika label yake ya Roc Nation amekuwa akijaribu kumtengeneza Rihana ili aondokane na muonekano wa kigetho na kuwa na muonekano unao eleweka
Imeelezwa
kuwa Jay Z amekuwa akipendekeza Rihana aachane na ulevi ,uvutaji na kujirusha
mara kwa mara na kugeukia unywaji wa juice ili aufanye mwili wake utoe sumu,pia
amemtaka asiwasiliane na chris brown siku za usoni sambamba na kumpiga chini
Drake ambaye hivi karibuni alimdiss jay.
Habari hizi
zimekuja baada ya june 2 Rihana kuvaa nusu uchi katika tuzo za CDFA pamoja na
kuonesha hadharani kuwa anatumia bangi
0 comments:
Post a Comment