Monday, June 16, 2014

Michael Schumacher apata aruhusiwa kutoka hospitalini

 http://www.agencianoticias.com.br/wp-content/uploads/2014/05/Sa%C3%BAde-Michael-Schumacher.jpg
Bingwa wa mbio za magari ya Formula one,  Michael Schumacher amepata nafuu na kuruhiwa kutoka hospitalini alipokuwa amelazwa kwa muda wa miezi sita.Kwa mujibu wa taarifa kutoka kwa familia yake, Schumacher mwenye umri wa miaka 45 ataendelea kupata matibabu akiwa nyumbani kwa hivi sasa.
Michael Schumacher ambaye ni mshindi mara saba katika F1 alipoteza fahamu baada ya kupata ajali na kuumia vibaya kichwani wakati akicheza mchezo wa kuteleza kwenye barafu hukoFrench Alps , 29 December, mwaka jana.

0 comments: