Tuesday, May 07, 2013

ADAM NDITI ;mtanzania anaecheze Chelsea aponda show ya Diamond uingereza....tizama Tweets@


 

msanii wa Bongo Fleva Diamond Platnumz kwa wiki kadhaa sasa amekuwa nchini Uingereza akipiga show nchini humo , usiku wa jana jijini London katika show yake ,mchezaji wa kikosi cha pili cha Chelsea Adam Nditi ambaye ni mzaliwa wa Tanzania Visiwani alihudhulia . Kwa mujibu wa tweets za Adam Nditi amesema hakupenda hata kidogo kitendo alichofanya Diamond katika show yake kwa kufanya show mbovu ambayo ilichelewa kuanza baada ya msanii kuingia ukumbini asubuhi badala muda halisi uliopangwa.

0 comments: