Friday, May 17, 2013

Tid atoa sababu za kutoshiriki katika Show ya Jide..



Wakati lady jay dee akijiandaa kufanya Annivesary ya miaka 13 katika game sambamba na kuzindua albam mpya ya Nothing bt the truth, amekuwa akikumbana na tatizo la kuto kuungwa mkono na baadhi ya wasanii hasa anapo waitaji kumpa support katika show yake hiyo..

Mwanzo ilikuwa ni Lina na Barnaba ambao licha ya kudaiwa kupokea advance walichomoa kufanya show ,baadae akafaatia Matonya na sasa ni TID ambaye amechapisha kupitia Faceboob sababu za yeye kuto kushirikia katika show hiyo.

 soma alichokiandika.........

0 comments: