BREAKING NEWS: M TO THE P AMBAE ALIKUWA NA NGWAIR NAE AMEFARIKI
Taarifa kutoka vyanzo mbali mbali zinasema kuwa M TO THE P ambae
walikuwa pamoja na Ngwair South Africa na walipelekwa wote hospitali ya
ST. Hellen huku yeye akiwa bado ana hema, leo asubuhi taarifa zinasema
nae amefariki.
0 comments:
Post a Comment