Wednesday, May 29, 2013
AUDIO;MaBeste akizungumzia project zake za Mziki wa Gospal..
Rapper Mabeste kutoka katika label ya B-hits Records anatarajia kuengeza wigo wa muziki wake kwa kuamua kuanza kufanya Gospal.Mabeste amesema ameamua kufanya mziki wa Gospal kwa kuwa ndo mziki unao gusa na kuelemisha jamii na rap itabaki kama biashara amesema anatarajia kutoka na ngoma inayoitwa BuBu ambayo amemsirikisha Mrisho Mpoto ,
"nikama Gospel inaweza pigwa kanisani ninaweza kupigwa popote amesema Mabeste .lakini management yake imekuwa na wasiwasi kama project hiyo itafanya vizuri sokoni .
msikilize hapa kiongea na www,swahiliInfo.blogspot.com EXCLUSIVE
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment