Wednesday, May 29, 2013

Ray J Afanya Remix ya I hit It First..Diss live live kwa Kim k na Kanye !

baada ya kuzungumziwa sana kwenye vyombo vya habari week kadhaa zilizopita kutokana na wimbo wake mpya i hit it firt, wimbo unao aminika ni diss kwa kim kadishian na kanye west ..               
Ray J amekuja na remix ya wimbo huo katika Remix hiyo Ray J ambaye ni kaka wa star wa r&b brand amewashirikisha Dorrough,uncle Murda,Clyde carson na wengine ..
katika ngoma hiyo kim k na kanye wametajwa live live katika verse ya Uncle MURDA ambaye ameanza kwa kusema.
everybody know this record about kim k,the video girl look like KIM K,
Wait to hear a responce from kanye..      
Sikiliza track hiyo hapa..                           

        

0 comments: