Wednesday, May 08, 2013

Young killa atoa mawazo yake baada ya serikali kutangaza kufuta matokeo ya kidato cha nne ya mwaka jana ...


 
Young Killa akiwa kama mmoja ya wa wanafunzi waliomaliza kidato cha nnemwaka jana ametoa mawazo yeke exclusive kupitia SwahiliInfo BLOG ,kwa kusema anazani ni jambo zuri ambalo limefanywa na serikali
Msikilize hapa.. Matokeo ya kidato cha nne 2012 ylitangazwa  kupangwa upya  (Standardization) taarifa hiyo, ilitolewa bungeni  na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Uratibu na Bunge, William Lukuvi, alipokuwa akitoa kauli ya Serikali kuhusu taarifa ya awali ya Tume ya Taifa ya kuchunguza matokeo hayo, iliyoundwa na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda.

0 comments: