Thursday, July 31, 2014

wimbo mpya :Wanaboa -Samata A

0 comments
huu ni wimbo mpya kutoka kwa msanii anae kuja kwa kasi katika mtindo wa AfroPop ni wimbo wake wa pili kuutoa.
usikilize hapa,..

Iyanya atoa ushauri kwa Wizkid na Davido kuhusu beef kati yao

0 comments
Iyanya atoa ushauri kwa Wizkid na Davido kuhusu beef kati yao
Taarifa za kuwepo beef kati ya wasanii wakubwa wa Nigeria Wizkid na Davido wakitambiana nani anafunika zaidi zinaendelea kukorezwa na tweets za vijembe kati yao kila kukicha.

Thursday, July 17, 2014

video:chris brown na drake wafanya comedy,wamaliza beef yao..

0 comments
Chris Brown, Blake Griffin, and Drake

Drake na Chris Brown wamedhibisha kuwa wamefuta beef yao baada ya kuonekana pamoja katika kipande cha video ya kichekesho ilio onekana wakati wa utoaji wa tuzo za wanamichezo walio fanya vizuri mwaka 2014  ESPYS.

Tuesday, July 15, 2014

Fresh Montana akaribia kumvisha Khloe Kardashian.

0 commentsRapper Frech Montana (29 )huenda akamvisha pete ya uchumba mpenzi wake Khloe kardashian hivi karibuni.
Khloe ambaye aliachana na mumewe Lamar Odom December mwaka jana walieishi pamoja kwa miaka minne kwa madai alikuwa akimsaliti na pia ni mtumiaji wa madawa ya kulevya inasemekana amekuwa akishinikiza talaka yake ikamilike mapema iwezekanavyo.

Monday, July 14, 2014

Rick Ross atoa tamko baada ya Meek Mill kwenda jela..

0 comments
http://youheardthatnew.com/wp-content/uploads/2014/07/meek.jpg
Baada ya kuripotiwa kuwa rapper meek mill atakaa jela kwa kipindi kisicho pungua miezi mitatu mpaka sita na huenda akashindwa kusherehekea kuachiwa kwa albam yake  ya Dreams Worth More Than Money akiwa  huru kupokana na kukiuka kipindi  cha matazamio boss wa MayBackmusic ametoa tamko kuhusu tukio hilo.

Wednesday, July 02, 2014

Grandpa Records yatoa tamko baada ya DNA kujitoa katika label hiyo..

0 comments
dna
Baada ya rapper DNA kutoka nchini Kenya kutangaza kuachana na Lebel iliokuwa inamsimamia Grandpa Records akidai anataka kufanya kazi zake kwa kujitegemea lebel hiyo imetoa tamko kuhusu kilicho sababisha jamaa kuondoka.