Friday, May 31, 2013

RATIBA KAMILI YA MAZISHI YA ALBERT MANGWEA KUTOKA KWA KAKA WA MAREHEMU KENNETH ..

0 comments
Baada ya kumalizika kwa uchunguzi, uliokuwa ukifanyika katika hospitali ya Hillbrow, mwili wa marehemu Albert Mangwea(Pichani) unatarajiwa kuwasili Jumamosi kwa ndege ya Shirika la Ndege la Afrika ya kusini, ukitokea nchini Afrika ya kusini.Mwili utapelekwa moja kwa moja katika hospitali ya muhimbili kuhifadhiwa, uletwaji wa mwili huo, 

  Jumapili asubuhi, kuanzia saa mbili, mwili wa Albert Mangwea utakuwa unaagwa viwanja vya leaders club na kampuni itakayoshughulikia zoezi hili ni Entertainment Masters na baada ya mwili kuagwa, safari ya kumsindikiza Albert Mangwea kuelekea kwenye maziko itanza, na hii itakuwa ni kuelekea Morogoro.
Mwili wa Mangwea utazikwa Jumatatu katika eneo laKihonda, mkoani,Morogoro...!!

 

Wednesday, May 29, 2013

M 2 THE P HAJAFARIKI..

0 comments
TAARIFA KUTOKA SOUTH AFRICA ZINASEMA MSANII ALIEKUWA NA NGWEA M TO THE P YUPO FRESH TOFAUTI NA HABARI ZILIZOTOLEWA NA MTANDAO HUU KWAMBA AMEFARIKI ..
TUNAOMBA RADHI KWA USUMBUFU WA AINA YOYOTE ULIOJITOKEZA !BLESS !

BREAKING NEWS: M TO THE P AMBAE ALIKUWA NA NGWAIR NAE AMEFARIKI

0 comments
Taarifa kutoka vyanzo mbali mbali zinasema kuwa M TO THE P ambae walikuwa pamoja na Ngwair South Africa na walipelekwa wote hospitali ya ST. Hellen huku yeye akiwa bado ana hema, leo asubuhi taarifa zinasema nae amefariki.

AUDIO:IZZO B azungumzia Kifo cha Ngwea , Ashindwa kujizua amwaga chozi...

0 comments
Habari za kusikitisha katika mziki wa bongo flava ni kifo cha rapper albet mangwer kutoka east zoo ambaye amefariki jana nchini africa kusini,sababu za kifo chake bado hazijajulikana japo kuna habari huenda kikawa kimesababishwa na utumiaji wa madawa ya kulevya kupita kiasi ,
kwa mujibu ya watanzania walio afrika kusini ambao ndio walikuwa wenyeji wa ngwea wanasema jamaa alilala usiku wa juzi baada ya kupiga kama show mbili ivi nchini humo  na jana alitakiwa asafiri kurudi bongo lakini walipo enda kumgongea alipolala hakuweza kuamka mpaka alipo pelekwa hospital na kujuliakan amefariki dunia.
 **************************************************

Kutokana na kifo chake wasanii wengi wameguswa na kifo hicho na na kupelekea baadhi yao kuairisha show zao za mwishoni mwa wiki mmoja wao ni rafiki mkubwa wa marehemu Tid pamoja na kikosi cha mizinga na mwana fA Ambaye ameshawahi kufanya kazi na ngwea.
mwingine ni izo b ambaye alikuwa na show yake jijini mbaya ila kwa heshima ya ngwea ameairisha show hiyo ,izzo akipiga story na SwahiliInfo amesemaNgwea anamchango mkubwa katika mziki wake kwani albam yake ya kwanza ya bongo flava kuinunua ilikuwa ya Ngwea AkA MiMi kipindi hicho Akiwa Form Two..
Msikilize izo akizungumzia alizipata vip taarifa hizi za msioba na jinsi alivyo amua kuairisha show yake
kwa mujubu wa msemaji wa familia ya Mangwea msanii huyo anatarajia kuzikwa morogoro maahara ambapo ipo familia yake na  ndiko alikozikwa baba yake mpaka sasa haijajulikana mwili wa marehem utafika lini hapa dar kutokea afrika kusini lakini watanzania walioko huko wanafanya utaratibu na ubalozi wa tanzania nchini huo ili kufanikisha swala hilo.
Rest in Peace Albet Mangwea.

AUDIO;MaBeste akizungumzia project zake za Mziki wa Gospal..

0 comments

Rapper Mabeste kutoka katika label ya B-hits Records anatarajia kuengeza wigo wa muziki wake kwa kuamua kuanza kufanya Gospal.Mabeste amesema ameamua kufanya mziki wa Gospal kwa kuwa ndo mziki unao gusa na kuelemisha jamii na rap itabaki kama biashara amesema anatarajia kutoka na ngoma inayoitwa BuBu ambayo amemsirikisha Mrisho Mpoto ,
"nikama Gospel inaweza pigwa kanisani ninaweza kupigwa popote amesema Mabeste .lakini management yake imekuwa na wasiwasi kama project hiyo itafanya vizuri sokoni .

msikilize hapa kiongea na www,swahiliInfo.blogspot.com EXCLUSIVE

Ray J Afanya Remix ya I hit It First..Diss live live kwa Kim k na Kanye !

0 comments
baada ya kuzungumziwa sana kwenye vyombo vya habari week kadhaa zilizopita kutokana na wimbo wake mpya i hit it firt, wimbo unao aminika ni diss kwa kim kadishian na kanye west ..               
Ray J amekuja na remix ya wimbo huo katika Remix hiyo Ray J ambaye ni kaka wa star wa r&b brand amewashirikisha Dorrough,uncle Murda,Clyde carson na wengine ..
katika ngoma hiyo kim k na kanye wametajwa live live katika verse ya Uncle MURDA ambaye ameanza kwa kusema.
everybody know this record about kim k,the video girl look like KIM K,
Wait to hear a responce from kanye..      
Sikiliza track hiyo hapa..                           

        

Monday, May 27, 2013

Hawa ndo Wawakilishi wa BBA kutoka Tanzania ...

0 comments

bigbrother the chace imeanza jana na watanzania wengi tulikuwa na hamu ya kujuwa wawakilishi wao, hatimaje imejulikana ni ammy nando mwenye miaka 22 ambaye ni actor na ni modal ambaye maisha
na shughuli zake amekuwa akizifanya los angels ,colofonia nchini marekani mmm
Ammy Nando..
wapili ni fadha kessy ambaye aliwahi kuwa miss dar city centre na hivi karibuni aliingia rasmi kwenye mziki na kuachia single yake ya kwanza "Amani ya Moyo",
na kazi zake zinasimamiwa na kampuni ya Ay ,Unity entertainment
                                                         Feza Kessy Katika Pozi na Rosey

Sunday, May 26, 2013

WACHEZAJI TAIFA STARS NDANI YA SUIT & TIE...

0 comments
Wachezaji wa timu ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars wakiwa vazi maalum la suti katika hoteli ya Hyatt, zamani Kilimanjaro Kempinski usuku wa kuamkia leo ,vaz  ambalo watavaa katika safari ya Morocco watakapokwenda kumenyana na wenyeji, Simba wa Atlasi kuwania tiketi ya kucheza Fainali za Kombe la Dunia mwakani nchini Brazil.PICHA NA BIN ZUBEIRY....

Friday, May 17, 2013

SAUTI:GodZilla akizungumzia kuafanya Mixtape na Diamond...

0 comments

 
king zilla from salasala kupitia ukurasa wake wa Facebook amechapisha taarifa za kufanya mixtape na msanii pendwa kwa hivi sasa ndani ya bongo Diamond,
"New mixtape Zilla Vs diamond" mj records" jamaa anachana bwana. Tutaona nani atamfunika mwenzake" produced by Zaa chaa n marco chali. @ studio now.
Wote tunachana humo."ameandika Zilla
kufuatia taarifa hizo swahiliinfo.blogspot.com imemvutia wire zilla na amefunguka zaidi kwa kusema wamekwisha kutengenzea ngoma moja kwa Marco chali na wanajipanga kutengeneza nyingine ,
pia zilla amezungumzia mixtape waliotangaza kuifanya na Nikki Mbishi

#sikilize hapa..

Tid atoa sababu za kutoshiriki katika Show ya Jide..

0 comments


Wakati lady jay dee akijiandaa kufanya Annivesary ya miaka 13 katika game sambamba na kuzindua albam mpya ya Nothing bt the truth, amekuwa akikumbana na tatizo la kuto kuungwa mkono na baadhi ya wasanii hasa anapo waitaji kumpa support katika show yake hiyo..

Mwanzo ilikuwa ni Lina na Barnaba ambao licha ya kudaiwa kupokea advance walichomoa kufanya show ,baadae akafaatia Matonya na sasa ni TID ambaye amechapisha kupitia Faceboob sababu za yeye kuto kushirikia katika show hiyo.

 soma alichokiandika.........

Tuesday, May 14, 2013

Angelina Jolie akatwa matiti kuzuia Saratani

0 comments

 
Angelina Jolie
Mcheza filamu mashuhuri sana duniani,Angelina Jolie amesema kwamba amekatwa matiti yake yote pamoja na kuondoa mfuko wake wa uzazi.
Kwenye taarifa aliyoandika kwenye gazeti la New York Times, Bi Jolie amesema alifanyiwa uchunguzi wa celi zake na kugunduliwa kwamba alikuwa katika hatari kubwa sana ya kupata saratani ya matiti. Ndipo akaamua kukatwa matiti yake mawili.
Angelina mwenye umri wa miaka 37 na mama na watoto sita, alipoteza mamake mzazi kutokana na maradhi ya saratani ya matiti.
Anasema aliandika taarifa hiyo kuwahakikishia watoto wake kwamba hakuwa kwenye hatari ya kupata saratani tena.

Monday, May 13, 2013

Hii ndo michoro alio chora Chris Brown nje ya nyumba yeke na kulalamikiwa na majirani zake....

0 comments
Nje ya music  Chris Brown anapenda sana  graffiti.sasa aliamua kuweka sanaa yake hiyo ya michoro nje ya nyumba yake ,pande za  Hollywood Hills Los Angeles na kupelekea majirani zake kumaind wakidai amevunja sheria.
Hii si mara ya kwanza kwa chris brown kulalamikiwa na majirani zake,kwani alishawahi kulalamikiwa na jirani zake juu kuwepo kwa kelele za party na kuendesha magari kwa kasi.
Updates za habari hii ni kwamba , mtandao wa Rap up umeandika chris brown amelipishwa faini ya dola 376 kutokana na kushindwa kuondoa michoro hiyo ndani ya siku 30 kama alivyopangiwa na mamlaka husika ,
Majirani wa chriss brown wakiielezea michoro hiyo wamesema ni kama picha za mashetani ,picha za watu mwenye macho na meno makubwa zinawaogopesha wakina mama na watoto alisema  mmoja wa majirani hao..

Baada ya habari hii kuenea chris hakukaa kimya alitweet...Friday, May 10, 2013

Jay Z na mpango wa kumsaini mwanasoka Neymar ,Roc Nation Sports.

0 comments
Siku chache baada ya Rapper  Jay Z kufungua kampuni ya uwakala wa wanamichezo Roc Nation sports, taarifa zilizoendea kwenye mitandao ni kwamba rapper huyo anajipanga kumsaini mshambuliaji wa Brazil Neymar kwenye kampuni hiyo .

“Roc Nation” iinataka kujikita katika michezo yote hasa soka, ikijaribu kuwafanya wachezaji kuwa mastaa wa kweli duniani kwa kuwa na mikataba minono na makampuni tofauti. Ndio maana Neymar kwa sasa amepewa kipaumbele kuwa mcheza soka wa kwanza kusainiwa kwenye kampuni ya Jay Z."

Neymar ataungana na Robinson Cano wa New York Yankees na Skylar Diggins wa WNBA katika listi ya wanamichezo waliopo katika kampuni ya ya Jigga inayoanza kukua kwa kasi japo imeanzishwa mapema mwaka huu.

Thursday, May 09, 2013

Jay Z kupiga show Diamond Jubilee October 4..

0 comments


Tanzania ni miongoni mwa nchi tano za bara la Africa zilizochaguliwa na rapper Sean Carter aka Jay-Z kwaajili ya kutumbuiza kama sehemu ya ziara yake ya wiki saba ya dunia. Ziara hiyo ni kwaajili ya kutangaza uelewa kuhusu tatizo la maji duniani. Inatarajiwa kuanza September 9 nchini Poland na kuzunguka mabara ya Ulaya, Africa, Asia na kumalizia Australia.
Barani Africa ataanza na show jijini Dar es Salaam katika ukumbi wa Diamond Jubilee October 4 kisha Accra, Ghana, Lagos, Nigeria, Luanda, Angola, Cape Town, Durban, na Johannesburg, Afrika Kusini

Source: okayafrica.com

Ja rule atoka jela...

0 comments


Platinum-selling rapper Ja Rule hatimaye jana ametoka jela baada ya kumaliza kutumikia kifungo cha miaka miwili jela kwa kosa la kukwepa kulipa kodi na kutumia silaha kinyume na sheria.
Ja rule ameachiwa huru jana huku akiwa miezi miwili ya kuendelea kukaa jela kutokana na muda aliokua amehukumiwa ,alipokelewa na mkewe na kupelekwa nyumban ambako atakuwa na kifungo cha nyumbani yani "home arrest" mpaka july 28.
Jombaa mwenye miaka 36 hivi sasa anadaiwa kukwepa kulipa kodi zaidi ya dola million 3 kati ya mwaka 2004 na 2006..


Wednesday, May 08, 2013

Sikiliza Dear Facebook, REMIX ya Dear Gambe BY Young Kacha...

0 comments

Young killa atoa mawazo yake baada ya serikali kutangaza kufuta matokeo ya kidato cha nne ya mwaka jana ...

0 comments

 
Young Killa akiwa kama mmoja ya wa wanafunzi waliomaliza kidato cha nnemwaka jana ametoa mawazo yeke exclusive kupitia SwahiliInfo BLOG ,kwa kusema anazani ni jambo zuri ambalo limefanywa na serikali
Msikilize hapa.. Matokeo ya kidato cha nne 2012 ylitangazwa  kupangwa upya  (Standardization) taarifa hiyo, ilitolewa bungeni  na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Uratibu na Bunge, William Lukuvi, alipokuwa akitoa kauli ya Serikali kuhusu taarifa ya awali ya Tume ya Taifa ya kuchunguza matokeo hayo, iliyoundwa na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda.

Tuesday, May 07, 2013

Lauryn Hill ahukumiwa miezi mitatu jela, kwa kukwepa kulipa kodi !

0 comments

Lauryn Hill Sentenced To Three Months In Prison For Tax Evasion
Despite paying $900,000 just hours ago, Lauryn Hill will serve time after all.
Despite paying close to a million dollars in federal back-taxes, Lauryn Hill is headed to prison. The Associated Press reports that the emcee/vocalist was sentenced to three months in prison today in a federal court based in her hometown of Newark, New Jersey.
Hill was facing up to three years in prison, but received a reduced sentence. Following a guilty plea, Ms. Hill and her attorney were seeking probation. She paid her $900,000 tax bill this weekend.
This will be Hill's first stay in prison. She could be released in as soon as a month.

Freach Montana adai kuishi na watoto wa TIGER..

0 comments


Kulikuwepo na taarifa kupitia  MTV News kuhusu rapper  French Montana akidai anamiliki watoto wa chui aina ya tiger ambao wataonekana katika video yae ya "Gifted" sasa habari hizo amezithitishwa mkali hiyo kutoka badboys Ent..
Week iliyopita French akizungumzia video hiyo alisema amewanunua na  anaishi nao nyumbani kwake na baada ya muda akapost picha kwenye instagram akiwa na watoto wa chui.

na akasema anawalisha chochote anachokula