Monday, December 23, 2013

kocha wa timu ya taifa ya kenya aongeza mkataba.

0 comments
kocha mkuu wa timu ya taifa ya kenye Harambee Stars ,Adel Amrouche ameongeza mkataba wa miaka mitano ya kuendelea kuifundisha timu hiyo .

Kidumu anatarajia kufanyiwa upasuaji...

0 commentsWakati akifanya mahojiano na kipindi cha KTN Morning Express show, Kidum amesema hayuko vizuri hivyo anatakiwa kufanyiwa upasuaji

yanga yamtimua kocha wake .

0 comments

Na Mahmoud Zubeiry, Jangwani
RASMI Yanga SC imetangaza kuachana na kocha Mholanzi, Ernie Brandts siku mbili baada ya kufungwa mabao 3-1 na wapinzani wao wa jadi, Simba SC juzi katika mechi ya Nani Mtani Jembe Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Kamati ya Mashindano ya Yanga, Abdallah Ahmed Bin Kleb amewaambia Waandishi wa Habari leo asubuhi makao makuu ya klabu, Jangwani mjini Dar es Salaam kwamba Brandts amepewa notisi ya mwezi mmoja kwa mujibu wa taratibu za ajira na baada ya hapo ataondoka.
Bin Kleb (katikati) akizungumza na Waandishi wa Habari makao makuu ya klabu leo Jangwani. Wengine kulia ni Ofisa Habari, Baraka Kizuguto na Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Mashindano, Mussa Katabaro   

 
 

Vin Diesel atangaza tarehe ya kutoka kwa Fast and Furious 7

0 comments
Vin Diesel atangaza tarehe ya kutoka kwa Fast and Furious 7
Muigizaji mkuu wa filamu ya Fast and Furious, Vin Diesel ametangaza tarehe ya kutoka kwa muendelezo wa saba wa filamu hiyo yenye mafanikio makubwa. Kutoka kwa filamu hiyo kuliathiriwa na kifo cha aliyekuwa muigizaji mwingine wa Fast and Furious, Paul Walker mwishoni mwa mwezi uliopita kwa ajali ya gari.

Thursday, December 19, 2013

D"BANJ KUWEKEZA KWENYE KILIMO 2014.

0 comments


 dbanj farming
Msanii kutoka  Nigeria Oladapo Oyebanjo aka Dbanji wakati akitarajia kusherehekea kutimiza miaka 10 tangu aanze kufanya music hapo  mwakani 2014 amejipanga kuingia katika shughuli za kilimo . 

Tuesday, December 17, 2013

Rabbit amtia mimba msanii mwenzie,wakati tayari anamchumba mwingine..

0 comments
Sage-and-Rabbit have a child

uhusiano wa Rapper kutoka Kenya Rabbit na msanii mwengine wa kike kutoka nchini humo Sage umechukua sura mpya baada ya habari kuenea kuwa wanatarajia kupata mtoto.

Friday, December 13, 2013

FUSE ODG AMPA SHAVU BOUNSA KUTOKA TANZANIA..

0 commentsMwanamuzikiraia wa Ghana anaeishi nchini Uingereza FUSE ODC Maarufu kwa jina la Azonto amempa shavu baunsa maarufu nchini Mwarabu Seleman Mirundi maarufu kwa jina Rose ya kumpa ajira ya kudumu ya kumlinda
kwenye.

Beyonce ameachia albam mpya kwa kushtukiza ,

0 comments

(iTunes)


Albam hiyo ni ya tano kama solo ameipa jina la “Beyonce” akiwa na track 14 pamoja na video zake.

Oprah Winfrey: sina watoto kwa sababu….

0 comments

Oprah Winfrey at Regal Cinemas L.A. Live in Los Angeles, on Aug. 12, 2013.


Oprah Winfrey ambaye anautajiri wa dola  $2.9, pamoja na talk show yenye mafanikio ulimwenguni kote kwa miaka 25 hivi sasa lakini hana watoto ,sasa katika interview alioifanya na Hollywood Reporter, amezungumzia kitu kilicho sababisha asiwe na watoto

Friday, December 06, 2013

SOMA JINSI WATU MAARUFU WALIVYOGUSWA NA KIFO CHA NELSON MANDELA..

0 comments
nelson-mandela.jpg

Baada ya jana alhamis Jacob Zuma Rais wa afrika kusini kutangaza kuwa Rais wa kwanza mweusi wa nchi hiyo Nelson Mandela Amefariki dunia akiwa na miaka 95,watu tofatu tofauti wakiwemo wasanii duniani kote walianza kutoa salam zao za pole .

VIDEO:DRAKE ATANGAZA USHIRIKINO NA JORDAN .

0 comments
wakati  Drake Akiendelea na Tour yake ya  "Would You Like A Tour?" Tarehe 4 usiku  akiwa katika mji wa Portland, Ore. alitangaza rasmi kuwa  na ushirikiano na brand ya Michael Jordan katika biashara ,brand ambayo imekuwa maarufu katika utengnezaji wa viatu vinavyoenda na wakati.

Wednesday, December 04, 2013

Nikweli Nas na Melanie Fiona wapenzi?

0 comments

FIONA
Fununu za mastaa hawa ku date zimechukua headline za mitandao mingi baada ya kuoekana wakiwa na ukaribu .

Tuesday, December 03, 2013

VIDEO:Kanye West ataonekana katika season mpya ya "Keeping Up with the Kardashians."

0 comments
Kwa mujibu wa trailer ya season ya tisa , mashabiki mwa reality tv show watapata kuona kipande kidogo cha nyumba mpya ya Kanye na Kim pamoja na jinsi ambavyo kanye alimvisha pete ya uchumba kim.

japo clip inayoonesha kanye akimvisha pete kim ilishavuja na kuna habari kuwa wamepanga kumshitaki mtu alie record na kuvujisha video hiyo lakini huonenda camera za  ‘Keeping Up with the Kardashians.’ Zikaonesha kila upande wa tukio zima .

Drama zingene tunazotarajia kuziona kwenye  season nine ya ‘Keeping Up with the Kardashians.’ni pamoja na mwisho wa ndoa ya mama yake Kim Kris  na mumewe Bruce Jenner lakini pia tutaona ishu ya mume wa mdogo wake Kim ambaye ni star wa NBA Lamar Odom kuhusu kuwa na addiction ya madawa ya kulevya.
season  mpya ya  ‘Keeping Up with the Kardashians’ itaanza kuruka 2014.
Tizama  trailer hapo chini 

Monday, December 02, 2013

WALE:UMASIKINI ULINIFANYA NISIFIKE NIGERIA TANGU NIZALIWE

0 comments
american rapper wale a nigerian
Rapper Wale kutoka Washington DC mwenye asili ya Nigeria amesema sababu ya kuto kufika Nigeria tangu azaliwe ni kutokana na umasikini wa wazazi wake
Wale amezaliwa na wazazi raia wa Nigeria mwaka 1984 ,sasa  katika interview alioifanya hivi karibuni amesema
“nimekua nikiwa maskini,nimekulia DC,kipato cha familia yangu kilikuwa kidogo kukata tiketi ya kuja Nigeria .
Wale amefika Nigeria kwa mara ya kwanza week iliopita .