Tuesday, January 29, 2013

Chris Brown azichapa na Frack Ocean studio…

0 comments
 
Mtandao wa TMZ umeripoti kuwa Chris Brown usiku wa kuamkia JANA amezichapa kavu kavu na mwanamuziki mwenzie Frank Ocean.Vyanzo vilivyo karibu na Chris vimedai kuwa Chris anadai Ocean ndiye aliyeanzisha ugomvi Chris alikuwa kwenye studio ya Westlake ya jijini Los Angeles akisikiliza baadhi ya nyimbo za wasanii wake. Vyanzo vinasema wakati Chris anaondoka, Frank Ocean na washkaji zake wakaziba njia.

Kamikaze afunguka juu ya kufanya collabo na wakali kutoka Nigeria ,pamoja na track ya utam wa chocolate kuchezWa nchini humo…

0 comments


Member  wa kundi la Wakacha Cyril aka kamikaze Katika harakati za kuuvisha border mziki wake amefanya collabo na wakali kutoka Nigeria ,

Akipiga sory na SwahiliInfo.blogspot.com Kamikaze amesema  fans wake wategemea kusikia kazi mpya ambayo amefanya na Bebesumtin ikiwa kama solo projEct nje ya kundi lake la wakacha ,ngoma hiyo imefanyika BLING Records Nigeria chini ya producer King,

Saturday, January 26, 2013

Sikukuu ya chelewesha lulu kuingia uraiani,sasa kutoka jumatatu...

0 comments

Kwa mujibu habari za kuaminika zilizotolewa kupitia
millardayo.com kuwa msanii wa maigizo Elizabeth Michael a.k.a Lulu angeachia
jana ijumaa january 25, watu wengi waliisubiri kwa hamu siku hii ili waweze
kufahamu ni nini kingetokea, lakini kwa bahati mbaya jana ilikuwa ni sikuu ya
Maulid kwa hiyo mahakama haikufunguliwa hivyo kumfanya Lulu aendelee kubaki maabusu.

Thursday, January 24, 2013

Sikiliza alichokisema Penny baada ya kuonekana picha ya utata akiwa amelala na Diamond Platinum ...

0 comments
Msanii wa Bongo Fleva maarufu Diamond Platinum siku ya leo kupitia katika mitandao mbalimbali kulikuwa na  maswali mengi sana juu ya picha ambayo ikimuonyesha Diamond Platinum akiwa amelala na Penny.
sasa Swahiliinfo imefumania interview aliifanya Vj Penny kuzungumzia ishu hiyo,anadai yeye na Diamond ni marafiki tu.
msikilize hapa..

Tyga atiRiRika kuhusiana na albam yake Mpya na anavyojisikia baada ya kuwa baba….

0 commentsTyga ambaye amekwisha kutangaza tarehe rasmi ya kutoka kwa albam yake ya Hotel California March 26 ,amezungumzia pia majukumu alionayo hivi sasa baada ya kuwa baba..
Tyga  akipiga story na106 & Park amesema  amekuwa busy sana akifanya kazi zake kama sio albam basi ni mixtape ,pamoja na ku-promote viatu vyake vinavyozalishwa na Reebok, the T-Raww, na pia anamtoto wa kiume ambaye amezaliwa October mwaka jana aliempa jina la Cairo.
Rapper huyo mwenye 24 kutoka YMCMB Akizungumzia juu ya kuwa baba amesema imemfanya ayakubali maisha kwa kiasi flani na haofii majukumu yaliyoongezeka baada ya kuwa baba.
 "It’s not really a challenge. It’s actually fun ’cause I’m a young parent. At the same time, I’m still enjoying my life," amesema Tyga.
Baadhi ya celebrities wamekuwa wakificha maisha yao binafsi hususani maisha ya watoto wao ,lakini Tyga sio mmoja wao ,.kwani mwanae  Cairo tayari ana Instagram account. 
Mchek Tyga akiwa ndani ya 106 & Park..

Wednesday, January 23, 2013

Shakira apata mtoto wa kiume, amuita Milan ..

0 comments

Muimbaji ambaye ni mzaliwa wa Colombia Shakira na bwana wake ambaye ni mchezaji wa  Barcelona Gerard Piqué, wamefanikiwa kupata mtoto wao wa kwanza wa kiume .
Shakira kupitia mtandao wa twetter amesema mtoto huyo anaitwa Milan Piqué Mebarak kimatamshi jina hilo linatamkwa( MEE-lahn), jina ambalo anadai linamaanisha  mpendwa kwa lugha ya  Slavic..

Kutoka Mtwara;Download Gesi kwanza KUTOKA KWA KIGWEMA,FAKY, BIG MAN, CHECK B, KAMAU, BATMAN, SODIUM, HAMZA MBOWA AND KIBABU ..

0 comments
                                                                              Kigwema

Friday, January 18, 2013

Huyu ndo msanii mpya wakike alie-sign Cash Money...

0 comments


YMCMB ni group linaloendelea kukuwa kila siku ,hivi sasa Birdman na Slim maboss wa kundi hilo kum-sign mshiriki wa shindano la  'America's Got Talent' Sarah Lenore katika label  yao ya Cash Money record label. 

Wednesday, January 16, 2013

Alichokisema Emmanuel Okwi baada ya ku-sign ETOELE DU SAHEL...

0 comments

Andre 3000 afuta fununu za Outkast kuungana tena, asema remix alizozifanya Big Boi Remixes hazikuwa official

0 comments

Kundi la Outkast alijavunjwa rasmi,lakini inaonekana wakali hao hawawezi kurudi na kufanya kazi pamoja hivi karibuni …             
hivi karibuni Big Boi aliweka verse yake kwenye ngoma ya Frank Ocean "Pink Matter,"ikawa ngoma ambayo original yake kulikuwa na verse ya Andre 3000 .. na pia kukawa na mipango ya kufanya remix ya ngoma ya TI "Sorry," Ngoma ambayo TIP alimshirikisha Andre 3000..

Cassidy akanusha taarifa za kuwa na kesi ya ubakaji na asema ajisikii kuendelea kum-diss Meek Mill..

0 comments

Kufuatia kuwepo kwa  beef ya rappers wanaotoka sehemu moja Philly namzungumzia Meek Mill na  Cassidy , rapper mwengine kutoka sehemu hiyo Ar-Ab, alingia katika beef hiyo na kushusha tuhuma nzito dhidi ya Cassidy
Wakati beef kati  Cassidy  na  Meek mill ikiendelea rapper huyo kutoka  …. Alipost video ya dakika 40 kwenye youtube akiwa upande wa meek mill na kutoa tuhuma nzito kwa Cassidy  , kuwa anatuhuma za kubaka na atachukuliwa hatua kwasababu ishu ililirecodiwa ..

Tuesday, January 15, 2013

LADY JAY DEE NA MUMEWE GADNER G HABASH WAMALIZA SALAMA SAFARI YA KUTANGAZA UTALII WA NDANI MLIMA WA KILIMANJARO

0 comments
Mhifadhi mkuu wa mlima Kilimanjaro Erastus Lufungulo akimuongoza msanii Lady Jay Dee mara baada ya kushuka kutoka mlima Kilimanjaro,shoto mwa Jay dee ni mpiga picha wa JayDee,Bw Justine.

Monday, January 14, 2013

MENEJA WA KUNDI LA PAH ONE AKANUSHA KUSAMBARATIKA KWA KUNDI HILO..

0 comments

WAKATI kukiwa na tetesi kuwa lile kundi la muziki wa bongo fleva Pah One limevunjika ,
meneja wa kundi hilo amekana ishu hiyo na kudai kuwa kundi bado 

Stamina Ft Fid Q .WAZO LA LEO (Audio & lrycs)

0 comments


Song: Wazo La Leo                                              
Artist: Stamina Feat Fid Q
Studio: Bongo Records
Producer: P funk Majani
Song Writters: Stamina (verses) & Fid Q (chorus)

Intro...
U know what majani??nice to meet you homie
Its moro town baby,,,shorobwenzi
Verse 1. (Stamina)
Elimika nyangema, maisha hayaendeshwi na nguo
Pesa ni vazi la mgema, haliwezi kuwa na mpasuo
Vaa uaminifu,tupa boksi la kondomu
Hip hop haijengwi na bifu,underground usijaze fomu
Maisha ni kujipanga, mganga usigawe irizi
Viongozi msizuie ganja, huku mnachukua ushuru wa rizz
Ridhiki ina kamba, ivute ili ikupe noti
Mkulima rudi shamba,dec mbegu siku hizi hazioti
Maisha njia panda,mtembezi chagua pa kwenda
Uchumi vazi la bwanga,ukishuka uvishe suspenda
Shiba kwa nia,ukiwa mlafi wa malengo
Usikufuru we shukuru ukifaulu kila tendo
Punguza pupa,mpendaji uingie ndoani
Mapenzi yamevaa bukta,uswazi mapaja hadharani
Usilale kijinga,kwenye kitanda cha ushamba
Unaweza kuwa shabiki wa samba,na ukaishi mwembe yanga

Saturday, January 12, 2013

Usher, Alicia Keys & wengine kibao ku- Perform wakati Obama akiapishwa …

0 comments
Usher, Alicia Keys, John Legend, and Stevie Wonder, ni baadhi ya majina makubwa yatakayo perform wakati wa kuapishwa kwa President Obama ..
President Obama inaonekana wazi kuwa anapenda majina makubwa kuperform katika siku hiyo ya kuapishwa ,pamoja ya kuwepo kwa wakali kibao inadaiwa Beyonce ndiye atakaye imba wa taifa wakati wa barrack Obama akiapishwa …
Sherehe hizo ambazo zitafanyika kwa siku mbili tareh 19 na 21 january zitakuwa na wakali  kama Usher, Alicia Keys, John Legend, Stevie Wonder, Smokey Robinson, Katy Perry, March Anthony na country star Brad Paisley. 
Tukio hilo linatarajia kukusanya watu zaidi 35,000 japo haijajulikana rasmi ni sehemu gani wasanii hao wakiwemo Mindless Behavior,na Nick Cannon watafanya hiyo performers kusherehekea  President Obama kuongoza marekani kwa msimu mwingine ..

Friday, January 11, 2013

Beyonce atangaza Project mpya ,kutoka Destiny's Child 'Love Songs' ni mchanganyiko wa ngoma kutoka kwenye albam zao walizozifanya ndani ya miaka nane …

0 comments


Destiny's Child kupitia project ya Love Songs .licha ya kuwa beyonce aliachia playlist mwaka jana ya ngoma zitakazopatika kwenye project hiyo ambayo itajumuisha ngoma zao zilizowahi kuhit na kulikuwa  hakuna material mpya ..

Thursday, January 10, 2013

Game ampa ushauri wa bure JUSTIN BIEBER ,baada ya kuonekana picha zinazomuonesha akivuta marijuana ….

0 comments


Baada ya picha za utata kuenea kwenye mitandao zikimuonesha  justin bieber akivuta marijuana katika chuma cha "Jesus Piece" rapper Game ametoa maneno ya ushauri kwa young star huyo wa pop na R&B .
Mtandao wa TMZ umeriport kumuuliza Game mawazo yake juu habari hizo za JB kufumwa akitumia marijuana
"Let's keep it real. Kuna watu wengi tena wako kwenye nafasi kubwa ,na wanavuta ganja kidogo sometimes “sisemi ni sahii… lakini bieber amefanya makosa..msameheni..muacheni akuwe na maumivu yake katika maisha ..."
 Pia Game akaongeza kuwa kama Bieber kweli anataka kuwa mvutaji ajiandae kuwa addicted ,so hatakiwa kwenda kwenye matatizo makubwa zaidi amesema Game ..

                                  moja kati ya picha zilizomuonesha JB akivuta marujuana ..