Thursday, January 10, 2013

Nas ameanza ku-record albam yake ya 12 ,na ataja albam alizozikubali 2012..


Nas pamoja nakutoka na albam yake ya 11, LIFE IS GOOD mwezi July 2012, amesema hivi sasa yupo katika nafasi nzuri hivyo anatengeza kazi nyingine ..
Nas katika interview alioifanya hivi karibuni amesema tayari ameanza kutengeneza muendelezo wa  Life is Good . "ndio!nimeanza kurecord ,naweza kukwambia. I can’t stop now.nipo katika nafasi nzuri”
Pia the Queens, New York rapper akatumia nafasi hiyo kutaja favorite albums kwa upande wake kwa  2012 , akataja albam ya Kendrick Lamar GOOD KID,m.A.A.d CITY na albam ya Meek Mill DREAMS & NIGHTMARES . hizo  ndio albam zake kwa mwa 2012..
"bila kumdharau mtu yoyote katika rap music, Kendrick Lamar. I’m really happy about his record.niliitaji hicho kitu, record zake zinakufikia ,na zinakupa matumaini ..na pia  Meek Mill.nguvu yake ni ya kushangaza..amesema Nas…

0 comments: