Monday, January 07, 2013

AVRIL akanusha kutoka na DIAMOND...


mkali wa ngoma ya   ‘Kitu kimoja’  avril amekuwa akihusishwa ku date na wanaume kadhaa tangu amekuwa star ,miezi michache iliyopita rapper, G-Kon ilisemekana anatoka nae kabla ya Avril ajakanusha tarifa hizo..
Baada ya kipindi kifupi tena zikaibuka fununu anatoka na co-host wa Kiss 100 Jalang’o,  rumors ambazo zilififia ghafla..
Last Friday, social media nchini kenya zilizungumza kuwa  bongoflava  artist kutoka Tanzania Diamond ndiye anaetoka na diva huyo . sasa baada ya Avril kupata habari hizo akawa na haya ya kusema :
 
“Diamond na mimi hakuna kitu chochote are just friends. Sio msanii pekee yangu niliotekea kwenye video yake alitaka support yetu kwenye video zake Kesho na Nataka Kulewa ambazo zilikuwa zinatayarishwa na kutengenezwa na Ogopa DJs.   Sikwenda na Diamond Zanzibar nilikuwa pekeyangu kwa mapumziko ya week moja ,nashangaa nani ameanzisha fununu hizo.”amesema avril
 
Source..The Kenyan daily post

0 comments: