Sunday, February 10, 2013

Hemed Phd akataa kujiunga na Freemason...


Mtaandao wa Kenyan POST.com mwishoni mwa wiki umechapicha habari zinazumuhusisha Drama boy ambeye alishawahi kushiriki  Tusker Project Fame Hemedi Suleiman aka PhD  kuwa ameshafuatwa na viongozi wa kubwa wa jamii ya Freemason lakini amekataa kujiunga nao..

Mkubwa wa fremason ananishawishi nijiunge katka chama hicho ila nimemuombea duwa mungu amlani ishallah“na hakika mwenye kujiunga na chama hicho mwisho wake ni kufa napia huwenda motoni.......

Hivi karibuni kumekuwa na list ya wasanii Africa mashariki ambao  wamekuwa wakihusishwa na Freemason lakini hakuna vidhibitisho vya aina yoyote

0 comments: