Wednesday, March 19, 2014

Mambo 30 usio yajua kuhusu Wizkid

Wizkid-
1) Jina lake halisi anaitwa Ayodeji Ibrahim Balogun.

2) Alizaliwa July 16, 1990  Lagos Nigiria katika familia ya watoto 6


3) Ni mtoto wa mwisho na wakiume pekee katika familia yake
4) Wizkid alipata gari yake ya kwanza mwaka 2011 ,ilikuwa gari aina ya Honda Accord i-VTEC.

5) Wizkid alianza kuimba akiwa na miaka 11 akijiita ‘Lil Prinz’.

6) Akiwa na miaka 11 aliunda kundi , Glorious Five.

7) Kundi hilo la Glorious Five lilifanikiwa kuachia albam yenye nyimbo        7 na waliitoa albam hiyo kanisani

8) Aliuza nakala 10,000 kwenye albam yake ya kwanza akiwa na Glorious five

9) Alibadilisha jina lake la He Lil Prinz na kujiita  Wizkid mwaka 2006.

10) Wimbo ya kwanza kumtambulisha kwenye muziki alishilikishwa na MI unaitwa Fast Money, Fast Cars ulitoka mwaka  2009.
11) Ameisha shinda tuzo 13 mpaka sasa
 
2010: Dynamix All Youths Awards – Artiste Of The Year,
Most Promising Artiste of the Year
2011: Headies – Next Rated
MOBO – Best African Act.
NEA – Best New Act.
City People Entertainment Awards – Best New Male Artist.
2012: NEA – Best R’n’B / Pop Artist.
Best Album
Headies: Artist Of The Year
Hip Hop Revelation Of the Year.
BET Award: Best International Act Africa
2013: Ghana Music Awards – Artist Of The Year
Channel O – Most Gifted Video Of The Year.

12) Wimbo wake wa kwanza kumtambulisha ni ‘Holla At Your Boy’.

13) Wizkid alikuwepo studio wakati 2face akirekodi  ‘Grass To Grace’
14.) Wizkid anamtoto wa kiume wa miaka 2

Boluwatife+wizkid+son
15Wizkid aliacha chuo (Lead City University)mwaka  2011 wakati akiwa mwaka wa tatu na alikuwa anasomea  ‘International Relations’.

16.) Wizkid collabo yake ya kwanza ya kimataifa ilifanya na Akon kwnye wimbo wa Don’t Dull (Remix).
17.) Wizkid hivi sasa anamahusiano na mrembo chotara , Tania Omotayo.

Wizkid-Tania-February-2013-loggtv
18.) nyumba yake ilioko Lekki ilikadiliwa kuwa na dhamani  naira million 140 .
19.) Wizkid anamiliki magari ya kifahari ikiwemo BMW X6 ,Porsche Panamera ,Volkswagen Convertible na Hyundia Sonata
20.) Wizkid amesha wahi kutumbuiza na wasanii waubwa duniani kama Chris Brown, Akon, Young Jeezy, Kardinal Official.


21.) Wakati akisherehekea kutimiza miaka 23 mwaka huu alitumia Champagne ya Naira million 300 ambayo ni sawa na dola 1825800 .
22.) Kwa hivi sasa ana followers zaidi ya laki  6 (697k) kwenye Facebook na anakuwa msanii wa pili kutoka Nigeria mwenye followers wengi anae  ongoza ni D’Banj.

23.) Pia kwasasa anashikilia rekodi ya kuwa balozi wa Pepsi anaelipwa pesa nyingi kwa afrika .

24.) Wizkid ni msanii kijana kutoka Nigeria alietoa albam iliotambulika kimataifa
25.) April 2012, E.M.E ilisign deal na Konvict music kusimamia Wizkid

26.) Wizkid anamiliki Record Label,inaitwa  Star Boy ikiwa na wasanii kama Maleek Berry, Legendury Beatz, Mutayo
wizkid-and-his-many-cars-1
27.) Baba yake Wizkid ana wake  watatu

28.) Kwasasa ni msanii kwenye ushawishi mkubwa kutoka afrika ukizingatia kuwa na followers million moja kwenye Twitter .

29.) Wizkid ameshirikiana na wasanii wengi (kitaifa na kimataifa )kuzidi msanii yoyote ).
30.) Albam yake ya kwanza ilitoka 2011 "Superstar ' ilikuwa na Track 17 ,albam yake ya pili inaitwa ‘CHOSEN’ itatoaka mwaka huu

0 comments: