Thursday, March 27, 2014

mke wa T.I akiri kuweka makalio ya bandia..

http://www.funkydineva.com/wp-content/uploads/2014/02/tiandtinyroc4life.jpe
Mke wa T.i ambaye ni muimbaji wa R&B Tameka “Tiny” Harris akifanya mahojiano katika kipindi cha Wendy Williams amekili kuweka maziwa na makalio ya bandia

Tiny hakuona aibu kuzungumzia upasuaji aliofanya kubadilisha maungo yake ya mwili licha ya kuwa ni mama wa familia
Wendy Williams alimuuliza Tiny kama makalio yake ni yakuzaliwa nayo au alinunua ,na jibu la Tiny likiwa nimenunua !
na kuhusu maziwa Tiny amesema "mara zote ni na maziwa yaliyo jaa (boobs)lakini unajua baada ya watoto watatu yakashuka"..

0 comments: