Wednesday, March 19, 2014

Baba yeke D'banj hafurahishwi na mwanae kufanya muziki..


My dad is not proud of me -Dbanj 

Kila msanii anastory ya kusimilia kuhusu wazazi wake wanamchukuliaje baada ya kuchagua kufanya musiki, kwa upande wa D'banj baba yeke hafurahi kabisa mwanae kufanya musiki .


Licha ya kuwa D'banj anafurahia mafanikio aliyoyapata kimataifa kupitia muziki ikiwa ni pamoja na wimbo wake wa 2012 'Oliver Twist'kufanya vizuri na kuuza nakala nyingi kupitia albam yake lakini bado baba yake anaona muziki hahumfai .


D'banj anasema baba yake alimwambia asifanye muziki afanye chochote lakini sio muziki na mpaka sasa amekuwa akimuuliza 'unauhakika huo muziki ni sahihi kwako?
D'banj anasema baba yake anajua umaarufu unaharibu mambo na anahofu kama ataendelea kupata mafanikio ...


0 comments: