Thursday, March 13, 2014

TIZAMA VIDEO EMMANUEL ADEBAYOR NA DAVIDO WAKICHEZA "AYE',WIMBO WA DAVIDO

Mwanasoka raia wa Togo ambaye ananyumba nchini ghana Emmanuel Adebayor ameonekana akicheza na Davido 'Aye' ambao ni wimbo wa Davido  nyumbaani kwake , davido ambaye yupo nchini Ghana hivi sasa ameonekana aki enjoy na mwana soka huyo ,moja ya vitu ambavyo amevifanya Davido nchini Ghana ni pamoja na kufanya wimbo na Msanii wa dancehall Shatta Wale. Tizama video inayomuonesha Adebayor na Davido wakicheza Aye

)

0 comments: