Monday, March 24, 2014

Olamide kushirikiana na D’banj katika biashara ..

OLAMIDE MAM
Olamide ambaye alichana Gangstar Rap na kuanza kufanya Rap inayo mtambulisha kuwa yeye ni Rapper kutoka Nigeria (indigenous rap) amezungumzia mahusiano yake na D'banj


''D’banj kama kaka yangu mkubwa ,amekuwa akinipa ushauri ,hawezi kunificha kitu ,ananiambia kuhusi music ,na anaheshimu ufanyaji kazi wangu kwa bidii na ananiwela kwenye biashara .tumepanga kufanya biashara, tunafanya biashara kidogo lakini sasa watu wakae tayari kuna kitu cha kushtukiza kinakuja ''amesema Olamide


0 comments: