Friday, November 30, 2012

BEEF;50 ASEMA FRENCH MONTANA HAWEZI KUSHINDANA NA LEVEL ZAKE.....

0 comments
50 Cent kwasasa ameachia new track "My Life" featuring Eminem and Adam Levine, na katika sehem ya  verses zilizomo humo ndani 50, ametumia maneno makali dhidi ya member wa zamani wa G-Unit ,Game na Young Buck,akiashiria hakuna love kati yao..lakini pia ameendeleza vita ya maneno dhidi ya rapper kutoka Bad Boys  French Montana..
Katika interview  alioifanya 50 kuhusu MoNtana amesema " anaendesha mdomo wake kitoto,hayuko tayari kushindana na mimi katika Level yoyote ,nikiachia ngoma inakuwa yakwanza kimauzo ndani ya masaa 24,
Hayo ni majigambo ya 50 dhidi ya French Montana.

Tuesday, November 27, 2012

KABLA YA KIFO CHAKE SHARO MILLIONEA ALICHATI NA LINEX...

0 comments

huo ni ujumbe ambapo marehem alikuwa anachat na Linex...

R.I.P SHARO MILLIONEA...

0 comments
Msanii wa Bongo movie na mwanamziki Sharo milionea amefariki dunia jana usiku  kwa ajali ya gari alipokua akielekea Muheza, Tanga., 
 picha baada ya ajali..

Monday, November 26, 2012

CHRIS BROWN AJIFUTA TWITTER....

0 comments
Masaa machache baada ya kuingia kwenye vita ya maneno kupitia mtandao wa Twitter na comedian Jenny Johnson , Chris Brown amefuta account yake ya twetter.Hii sio mara ya kwanza kwa C Breezy  kujiondoa Twitter  ,November 2011 alifuta account yake baada ya kukosolewa kuhusiana na uhusiano wake na Rihanna.
Hii ndo tweet ya mwisho kutoka kwa chris  Kabla ya kujifuta twitter ..


BONGO MOVIIE NA WATANGAZAJI WA IRINGA WATOKA SARE 2-2..

0 comments

                                          Bongo movie
                                         Watangazaji wa Iringa
Kabla ya soka kulikuwa na parfomance kutoka kwa Sajuki ,Wastara ,Mzee yusufu na Kitale Teja
Saturday, November 24, 2012

LIL WYNE ATAKAZA KUACHANA NA RAP,THA VARTER V NDO ALBAM YAKE YA MWISHO..

0 comments
Young Money front man Lil Wayne ametangaza rasmi kuwa albam yake ya Tha Carter v itakuwa na ni albam yake ya mwisho kuitoa ,

"najua nyote mkependa niendelee kuwepo kidogo ,lakini 'Tha Carter V' itakuwa ni album yangu ya mwisho " nimekuwa nikirap tangu na miaka 8 na namiaka 30 sasa , ni muda mrefu sasa ,nataka kufanya vitu vingine “amesema lil wyne wakati akipiga story na MTV News.. 

Rappers kadhaa walisha wahi kutangaza kuachana na muziki ,mwisho wa siku hurudi nakuenelea na game.Je? "Tha Carter V" ni kweli itakuwa ni albam ya mwisho ya Lil wyne ? Let us know.

Friday, November 23, 2012

NU JOINT .Prezzo-Naija Girl..

0 comments

Mshindi wa pili katika Big Brother Africa StarGame mkali kutoka Kenya Prezzo officially premiered his spanking new single, “Naija Girl”, ngoma ambayo fununu zinasema ni maalumu kwa Goldie  ambaye alikuwa nae Big Brother na amekuwa akizunguka nae Lagos na  New York.
Ngoma hiyo pia inakuja na uzinduzi wa  website www.iamprezzo.com  Ambayo itaanza kuwa active kuanzia leo
Sikiliza Naija Girl hapa…artist PrezzoCheck out his new promo shots!