Wednesday, November 14, 2012

Vybez Kartel awa Nominated kwenye Grammy licha ya kuwa yupo Jail...
Inaoneka licha ya kuwepo jail hivi sasa Vybez Kartel album yake ya “Pon Di Gaza Mi Seh” imekuwa nominated katika Grammy Awards zijazo . Itakuwa ni tuzo yake ya kwanza ya  Grammy kama akishinda .
Na anashindana na dance-hall heavy weights ,Konshens na  Busy Signal  ambaye pia yupo jail kwa kosa la kusafirisha drugs  .Vybez ambaye kwa sasa yupo jail kwa kosa la mauaji ,bodo anafanya vizuri uraiani na hits kama  “duppy nuh” na  summertime”.
Kama akishinda bila shaka atakuwa na furaha ukuzingatia anataka kusafisha jina lake ,kama ilivyo kwa Busy Signal  ambaye anatarajia kutoka jail mweshoni mwa mwzi huu .

0 comments: