Wednesday, November 14, 2012

HAPPY B DAY STAMINA!aachia ngoma Special kwa wakazi wa MOROGORO...Stamina leo ikiwa ni siku yake ya kuzaliwa ameachia ngoma kama zawadi kwa watu wa morogoro mahala ambapo anatoka ,inaitwa moro moro akiwa amerudia ngoma ya Fid q mwanza mwanza ,ikiwa pia ni utangulizi wa ngoma yeke itakayo toka mwezi ujao inayoitwa USHAHURI NASAA akimpa shavu Fid q
download hapa..STAMINA-MORO MORO

0 comments: