Wednesday, November 21, 2012

Frank Ocean na New Boyfriend ! (PHOTOS)


Frank Ocean ametengeneza history mwaha huu 2012 kwa kufunguka wazi wazi juu ya kushiriki mapenzi ya jinsia moja..Jamaa alikuwa mtu wa kwanza kutililika kuwa yupo kwenye mahusiano na mkali wa mziki wa hiphop ,mkali huyu wa Channel Orange akawa  talk of the town. 
                                         Frank Ocean na Karl Lagerfeld
                                  boyfriend wa Frank Ocean Willy Cartier meets Karl Lagerfeld

0 comments: