Thursday, June 26, 2014

Dogo janja amesema mazingira ya shule za kinzania ndio yanayo sababisha ashindwe kuendelea na masomo

0 comments

Dogo janja ambaye ameishia form 2 na kushindwa kuendelea na masoma katika shule ya sekondari makongo alipo kuwa anasoma baada ya kuto kufanya vizuri katika mitiani yake ya kuingia form 3 amesema ukiwa msanii kusoma katika shule zetu huwa ni ngumu kutona mazingira.

2face hajafurahishwa na vyombo vya habari kuzungumzia ugonjwa unao msumbua baba yake.

0 comments
 http://cultureshocknigerians.com/wp-content/uploads/2013/02/2face.png
2face hajafurahishwa na vyombo vya habari kuzungumzia ugonjwa unao msumbua baba yake.
baada ya kuenea  habari kwenye vyombo vya habari nchini nigeria kuwa baba wa muimbaji 2face Idibia anasumbuliwa na saratani,

Frank ocean amtimua meneja wake..

0 comments
http://www.billboard.com/files/styles/promo_650/public/stylus/1475759-Frank-Ocean-best-bets-617-409.jpg  Frank Ocean wakati akijipanga kutoa albam yake mpya amemfukuza meneja  pamoja na msemaji wake ambao amefanya nao kazi kutoka mwaka 2010.

Thursday, June 19, 2014

chanzo cha beef ya T.I na rappe wa kike rapper wa kike Azealia Bank

0 comments
 
Hisasa kuna beef kat ya Rapper T.I na rapper wa kike Azealia Banks
beef yao ilinza baada ya T.i kutoa wimbo wa “No Mediocre ambao amefanya na Iggy azalea

wimbo ambao T.I anavutiwa na wasichana wazuri duniani
baada ya huo mwimbo kutoka Azealia Banks alitwit “You want no mediocre…but have you seen your wife?”
yani nikama alikuwa namwambia T.I unasema hupendi wasichana wasio wazuri ,vipi umeshamuona mke wako ?

Wednesday, June 18, 2014

Tanzania kubadili sheria kuhusu Shisha...

0 comments

Waziri wa afya nchini Tanzania, amesema kuwa Tanzania inapanga kutathmini sheria ya sasa kuhusu matumizi ya Sisha ili kufanya mageuzi au kubadili sheria hiyo matumizi ya Shisha.

Jamaica inampango wa kulegeza sheria ya matumizi ya bangi..

0 comments

Jamaica Plans To Decriminalize MarijuanaWakati nchi nyingi hivi sasa zimelegeza sheria ya matumizi ya marujuana  ,Jamaica pia inampango wa kubadilisha sheria za matumizi ya bangi ambayo hutambulika kama ni dawa za kulevya.
kwa mujibu wa TIME,waziri wa sheria nchini humo  Mark Golding alitangaza mabadiliko hayo siku ya jumanne wiki hii kuwa sheria hiyo itaaanza kutumika bbaada ya msimu wa joto kumalizika.


Monday, June 16, 2014

Picha:Waandishi wa habari wazua kasheshe kwenye kambi ya timu ya taifa ya Croatia

0 comments
 
Wachezaji wa timu ya taifa ya Croatia wamegoma kuzungumza na waandishi wa habari waliofika kwenye hoteli ya mjini Bahia ambapo ndipo timu hiyo ilipoweka kambi.

Michael Schumacher apata aruhusiwa kutoka hospitalini

0 comments
 http://www.agencianoticias.com.br/wp-content/uploads/2014/05/Sa%C3%BAde-Michael-Schumacher.jpg
Bingwa wa mbio za magari ya Formula one,  Michael Schumacher amepata nafuu na kuruhiwa kutoka hospitalini alipokuwa amelazwa kwa muda wa miezi sita.

Thursday, June 12, 2014

Don Jazzy amuajiri mfanyakazi wa Airport alie fukuzwa baada ya kumpa msaada...

0 comments
Don Jazzy at Tiwa Savage wedding to Tee Billz in Dubai. Photo: Filed

C.E.O wa lebel ya Mavin Don Jazzy amempa ajira mfanyakazi wa  Delta Airline  ambaye amefukuzwa kazi baada ya kumruhusu Don Jazzy kuendesha gari ndogo ambalo hutumika kubebea mizigo ndani ya airport (airport cart) akiwa kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa Murtala Mohammed , Lagos,Nigeria.

Wednesday, June 11, 2014

Waigizaji wa Nigeria watoa filamu mbili kuhusu Wasichana waliotekwa na Boko Haram

0 comments

Waigizaji wa Nigeria watoa filamu mbili kuhusu Wasichana waliotekwa na Boko Haram  

Wakati ambapo serikali ya Nigeria iko kwenye mtihani mkubwa wa jinsi ya kuwaokoa wasichana zaidi ya 200 wanaoshikiliwa na kundi la Boko Haram, tayari waigizaji wa Nollywood wamechukulia tukio hilo kama fursa ya kupiga mpunga. 

Mike T kuanzisha kitaa Tv na kitaa Radio fm ,kuwapa promo wasanii wanaokosa nafasi ya kusikika ..

0 comments

Hi All, TATIZO = FURSA > Wasanii wengi kwa kipindi kirefu tumekuwa tunalalamika kuwa tunabaniwa kwenye MEDIA bila kuelewa kwa kifupi tu ukweli wa mambo. Kwa Uchunguzi nilioufanya kwa kipindi cha miaka mitatu hivi nimegundua haya, Watayarishaji au watangazaji wa vipindi kwa siku wanapokea zaidi ya nyimbo 30 kutoka kwenye studio mbalimbali hapa nchini, kwao inakuwa ni vigumu kucheza nyimbo zote kutokana either muda kuwa mdogo wa vipindi vyao au kuwa na request nyingi za nyimbo ambazo wamekuwa wanazicheza sana. > Swali likaja kwangu nyimbo au video ambazo hazichezwi na ni nzuri tufanye nazo nini ili na hawa wasanii wapate airtime? >

Tuesday, June 10, 2014

Video:"Albam yangu mpya itakuwa bora kuzidi zote" asema Nikki mbishi.

0 comments
Msanii wa HipHop kutoka Tanzania Nikki Mbishi Zohan amesema albam yake mpya itakuwa bora kuzidi albam zake zilizopita.
kupitia kipande cha video alicho jirekodi wakati akipitia wimbo mpya ulipo kwenye albam hiyo unaoitwa "'Michepuko''amesema mashabiki zake wategemee albam bora kuzidi Malcom XI na Sauti ya Jogoo. 

Saturday, June 07, 2014

Diamond kurekodi wimbo na Mafikizolo

0 comments

Leo ni siku ambayo mashabiki wa muziki Afrika na duniani wataiangalia Durban kwa macho mawili au kusikiliza kinachoendelea huko kwa masikio yote kwa kuwa MTV MAMA zitatolewa usiku.

Msanii wa kundi la Cali Swag District afariki dunia ..

0 comments

Kuni la muziki kutoka  Marekani  Cali Swag District limempoteza memba wa kundi hilo  JayAre ambaye amefariki jana ijumaa ,

Thursday, June 05, 2014

Jay amshauri Rihana kujihesimu kama mkewe Beyonce.

0 comments

Jay Z ameonesha kuvutiwa na maisha ya kistar anayoishi mkewe beyonce na kumshahuri Rihana  kufuta picha mbaya alionayo  na kuanza kuvaa na kuishi kama  Queen Bey.

Wednesday, June 04, 2014

Video:50 cent atangaza G-Unit kutoa albam mwaka huu.

0 comments
Kundi la G-unit baada ya kuungana katika tamasha la Summer Jam na kisha kuachia nyimbo mbili ,kiongozi wa kundi hilo 50 cent amejibu swali ambao mashabiki wengi wa HipHop walikuwa wanajiuliza kama kuna uwezekano wakafanya albam ya pamoja.

Mtoto wa kike wa R.kelly ajitambulisha kama mwanaume.

0 comments
 Jay Kelly
Wakati mataifa mengi ya afrika yakipinga vitendo vya usagaji na ushoga na kuyaacha mataifa ya ulaya na marekani kuendelea kuunga mkono vitendo hivyo,mtoto wa kike wa muimbaji nguli wa muziki wa R&B duniani R.Kelly anayeitwa  Jaya amejitambulisha kama Dume Jike “transguy” kupitia mitandao ya kijamii. 

Tuesday, June 03, 2014

Mkurugenzi wa Instagram asema ni marufuku kuweka picha za Utupu hata kama ni mtu maaarufu.

0 comments
https://lh3.ggpht.com/vFpQP39LB60dli3n-rJnVvTM07dsvIzxrCL5xMiy1V4GV4unC1ifXkUExQ4N-DBCKwI=w300

Muasisi wa mtandao wa kijamii wa istagram ameiambia tovuti ya bbc newbeat kuwa sheria za mtandao huo kuhusiana na kuonesha sehemu za siri zina “usawa” akimaanisha hazichagui mtu maarufu au mtu wa kawaida.

Police nchini Nigeria yapiga marufuku maandamano ya kampeni "BringBackOurGirls'

0 comments

 http://www.independent.co.uk/news/world/article9361847.ece/alternates/w460/chris-brown%20bring%20back%20our%20girls.jpg
Polisi nchini katika mji mkuu wa Nigeria, Abuja wamepiga marufuku maandamano ya watu wanaowaunga mkono zaidi ya wasichana wa shule mia mbili waliotekwanyara na kundi la wanamgambo wenye itikadi kali za kiislamu la Boko Haram mwezi Aprili.

Monday, June 02, 2014

Taswira ya rais Jomo Kenyatta yaonekana kwenye video mpya ya B.OB 'All I Want'

0 comments
Rapper wa Marekani B.o.B ameachia video mpya ya wimbo wake aliupa jina la ‘All I want’ ambayo anazungumzia  jinsi ambavyo kwake kitu muhimu zaidi ni kupata pesa.
Katika video hiyo, zimeonekana taswira za pesa za nchi mbalimbali zikiwa zimeunganishwa na nusu taswira ya marais walioko kwenye fedha hizo na taswira ya mtu ambaye anatamani kuwa kwenye noti hiyo.
Katika dakika ya 2 sekunde ya 49 ya video hiyo, inaonekana noti ya Kenya ya shilingi 1000 na nusu taswira ya rais wa kwanza wa Kenya, Mzee Jomo Kenyatta na imeungwa na picha ya mtu ambaye anatamani angekuwa na pesa ama kuwa kweye noti.

Chris Brown aachiwa huru baada ya kukaa jela siku 108

0 comments

Mwimbaji wa R&B, Chris Brown ameachiwa huru baada ya kutumikia kukaa jela kwa siku 108 kati ya siku 131 alizokuwa amepangiwa na mahakama hapo awali.
Mtandao wa TMZ umeripoti kuwa mkali huyo wa ‘Loyal’ ameachiwa huru majira ya usiku wa manane kuamkia leo.