Thursday, June 26, 2014

Frank ocean amtimua meneja wake..

http://www.billboard.com/files/styles/promo_650/public/stylus/1475759-Frank-Ocean-best-bets-617-409.jpg  Frank Ocean wakati akijipanga kutoa albam yake mpya amemfukuza meneja  pamoja na msemaji wake ambao amefanya nao kazi kutoka mwaka 2010.

 
kwa mujibu wa  BuzzFeed, Ocean amewatimua  Christian na Kelly Clancy ambao ni wafanyakazi wa kampuni ya 4 Strikes Management,jamaa ambao pia wanawasimamia wasanii wengine kama Tyler, the Creator, Solange, na  Mac Miller kwa kigezo kuwa anataka kuendesha kazi zake kwa muelekeo mwingine licha ya kuwa ni nani atakuwa manage wake.
Frank Ocean anatarajia kutoa albam yake ya tatu mwishoni mwa mwaka huu.

0 comments: