Wednesday, June 11, 2014

Waigizaji wa Nigeria watoa filamu mbili kuhusu Wasichana waliotekwa na Boko Haram

Waigizaji wa Nigeria watoa filamu mbili kuhusu Wasichana waliotekwa na Boko Haram  

Wakati ambapo serikali ya Nigeria iko kwenye mtihani mkubwa wa jinsi ya kuwaokoa wasichana zaidi ya 200 wanaoshikiliwa na kundi la Boko Haram, tayari waigizaji wa Nollywood wamechukulia tukio hilo kama fursa ya kupiga mpunga.  Waigizaji hao wameingiza sokoni filamu mbili zinazohusu tukio hilo, ya kwanza inaitwa Lost Stundents (Zero Squard) na nyingine inaoitwa (The Missing School Girls).

Hata hivyo, idea ya filamu hizo imekosolewa vikali na wananchi wa Nigeria ambao wengi wao bado wanamajonzi.
source:timesfm

0 comments: