Wednesday, February 26, 2014

TYGA AMESEMA KANYE WEST NDIO PRODUCER MKUU WA GOLD ALBAM ..

0 comments
Tyga amesema Kanye West ndio atakuwa producer mkuu wa albam yake mpya ya Gold Album ambayo itatoka mwaka huu  .

Exclusive:PNC asema sijadhalilishwaji ila sikujua kama narekodiwa na kupigwa picha.(audio)

0 comments


Baada ya kuenea kwa picha na video inayomuonesha PNC akiwa amepiga magoti akimuomba msamaa ustadhi juma na musoma ili aendelee kumsimamia kazi zake na wengi kutafsiri picha hizo kama ni udharirishwaji kwa msanii PNC,SwahiliInFoBlog imepiga story na PNC kujua mtizamo wake,

Monday, February 24, 2014

New Music: Chris Brown & Tyga – ‘B******es’

0 comments

Fan of a Fan 2

Chris Brown anaonekana kuwa busy sana mwaka huu ,baada ya kutangaza kutoa albam yake ya X  May 5, pia anampango wa kutoa Fan of a Fan 2,akiwa na Tyga ikiwa ni mwendelezo wa mixtape yao Fan of a fan walio itoa  2010 Na tayari jamaa wameachia single ya kwanza kutoka kwenye hiyo albam ,ngoma inaitwa “Bitches,”.
Isikilize hapa….


Friday, February 21, 2014

Nu Joint :Kinoge FT belle 9 -simple girl

0 comments
http://www.ecgnaturals.com/graphics/nu-j-tit.gif

Video:Drake alivyompokonya Mic diddy on stage ,wadau wasema alimkosea heshima !

0 comments


Check Drake akimpokonya mic  Diddy on stage wakati aki perform Worst Behavior ,na kasha  Drake kuweka chini mic aliokuwa akitumia na kumfanya didy ainame kuichukua .inaonekana mic ya Drake ilikuwa haifanyi kazi ,sasa namna ambavyo drake alichukua mic kutoka kwa didy ni kama alimkosea heshema hiphop mogel DiDDY ,unaeza toa mawazo yako hapo chini…

Wednesday, February 19, 2014

mcheza miereka Big Daddy Amefariki dunia..

0 comments


0218-big-daddy-v-wwe
mcheza miereka wa WWE Nelson Frazier Jr. Big Daddy V amefariki dunia February 18 kutokana shambulio la moyo nyumbani kwake Memphis, Tennesse.

Alhuda Njoroge A.K.A Huddah Monroe anatarajia kuwa mama...

0 comments
Huddah Monroe

Mshiriki wa Big Brother kutoka Kenya Alhuda Njoroge A.K.A Huddah Monroe ambaye amekua haishi kupost picha za utata kwenye mitandao ya kijamii amesema anataraji kuwa mama hivi karibuni.

Saturday, February 15, 2014

5 Hottest Football Couples (PHOTOS)

0 comments
834 TOP 10 Hottest Football Couples   See The Winner + Full List (With PHOTOS)
Top 10 hottest couples in football
1. Cristiano Ronaldo and Irina Shayk – 18 %

Thursday, February 13, 2014

Drake amchana Macklemore kwa kumtumia Kendrick Lamar ujumbe wa kumpoza baada kuwashinda kwenye tuzo za Grammy

0 comments
 Rapper mzawa wa Toronto, Canada, Drake amemchana Ben Haggerty aka Macklemore kwa uamuzi wake wa kuonesha hadharani ujumbe alioumtumia Kendrick Lamar kwa simu baada ya kumshinda kwenye kipengele cha Album Bora ya Rap kwenye tuzo za Grammy mwezi uliopita.

Tuesday, February 04, 2014

P-Square kutoa albam ya sita mwaka huu

0 comments

1391509364psquare

Baada ya kukaa kwa miaka miwili na nusu bila kuachia albam Peter na Paul Okoye wameamua kufata mfumo ambao unatumiwa na Davido pamoja  Wizkid ambao huachia hit singles na kisha kutoa albam .
Habari zilizopo hivi sasa Peter na Paul wamepanga kutoka na albam ya sita mwaka huu ,hapo mwanzo kulikuepo taarifa kuwa jamaa hawatotoa albam tena .
Kwa mujibu wa msemaji wa P-squere Bayo Adetu amesema jamaa wataachia single mbili kabla au siku ya valentine  na kasha albam itafuatia .

Saturday, February 01, 2014

FA na AY kupanda stage moja na Soulja Boy na Sean Kingston jijini Lancaster, US, April 5?

0 comments
 
Kama mipango ikienda sawa, kuna uwezekano The Gladiators (Mwana FA na AY) wakapanda steji moja na Sean Kingston na Soulja Boy kwenye show itakayofanyika April 5, jijini Lancaster, California nchini Marekani.