Friday, February 21, 2014

Video:Drake alivyompokonya Mic diddy on stage ,wadau wasema alimkosea heshima !Check Drake akimpokonya mic  Diddy on stage wakati aki perform Worst Behavior ,na kasha  Drake kuweka chini mic aliokuwa akitumia na kumfanya didy ainame kuichukua .inaonekana mic ya Drake ilikuwa haifanyi kazi ,sasa namna ambavyo drake alichukua mic kutoka kwa didy ni kama alimkosea heshema hiphop mogel DiDDY ,unaeza toa mawazo yako hapo chini…

0 comments: