Thursday, April 25, 2013

NOMINEES KILIMANJARO TANZANIA MUSIC AWARDS 2013 ............

0 comments


Majina ya wasanii, waandaaji muziki na vikundi kwa ajili ya tuzo za Kilimanjaro Tanzania Music Awards 2013


WIMBO BORA WA MWAKA

Dear God - Kala Jeremiah
Leka dutigite - Kigoma all star
Mapito - Mwasiti Feat Ally Nipishe
Me n U - Ommy Dimpoz Feat Vanessa Mdee
Pete- Ben pol

MSANII BORA WA KIUME
Ben Pol
Diamond
Linex
Mzee Yusuf
Ommy Dimpoz

MSANII BORA WA KIKE
Isha Mashauzi
Khadija Kopa
Lady Jaydee
Mwasiti
Recho

Monday, April 22, 2013

Baby Mama wa Nate Dogg adai pesa za matunzo ya mtoto…

0 comments
 

Licha ya kuwa Nate Dogg   alifariki March 2011 kutokana na kupata strokes mara kadhaa ,lakini hiyo haijatosha kustop drama za baby mama wake kwani amefunguka kumdai pesa yake  nate dogg .

 Bidada wakuitwa  Shereda Williams amefungua jarada kwenye mali alizoziacha nate dogg akidai anaitaji alipwe dola zaid 339,924 kwaajili ya malezi ya mtoto walio zaa pamoja ,
inadaiwa late Nate alitakiwa  kumpa Shereda dola 4,358 kwa mwezi baada ya mtoto kuzaliwa 2006,lakini kwa mujibu wa baby mama hajawahi kupokea hata sent 5 kutoka kwa nate ..

Police wazuia kufanyika party ya kuvuta bang alioianda Snoop Dogg.....

0 comments
Snoop Dogg marijuana party
kwa  mujibu wa mtandao wa TMZ , rapper snoop alikuwa na party ya kuvuta marijuana  pande ya Hollywood Hills na ikazuiwa kufanyika muda mfupi baada ya snoop kuwasili eneo la tukio,
party hiyo ilitajajiwa kuanza mida ya saa tano asubui lakini majiraji wa eneo hilo waliwasilisha malalamiko yao police juu ya kelele zizokuepo pamoja na tatizo la parking ,
pia ikasemekana  party hiyo haikuwa na kibali chochote.

Wednesday, April 17, 2013

Historia ya Bi kidude..

0 comments

    Picha:Bibi Kidude 2.jpg

Bi Kidude ni gwiji wa muziki katika Bara la Afrika. Jina lake halisi ni Fatuma binti Baraka. (Mwaka aliozaliwa haujulikani ila anakisiwa kuwa na umri wa miaka 102. amefariki 17 Aprili 2013, Bubu Zanzibar). Bi Kidude ni msanii mkongwe na mahiri sana katika fani ya muziki wa mwambao ambao hujulikana kwa jina la Taarabu. Muziki huu ambao ni mchanganyiko wa muziki toka nchi za Kiarabu na vionjo vya muziki wa Kiafrika umekita sana katika mwambao wa Afrika Mashariki yaani Zanzibar, Mombasa, Lamu na kwingineko.

picha za birthday ya Lulu jana alipotimiza miaka 18

0 comments

Lulu akiwa na rafiki wa karibuKeki
Ali KIba akiwa na  mama yake Lulu
                                                  mama lulu na Ali Kiba

Coolio aingia matatizoni kwa kumpiga Girlfriend ...

0 comments

mkongwe katika ulimwengu wa muziki ambaye pia nimkali wa ngoma kama i see you when you get there mtu mzima Coolio anadai kutiwa mikononi mwa police mwanzoni mwa mwezi huu kwa kosa la kumpa kibano girlfriend wake na kusababishia alama katika uso wake
licha ya habari hizi kuchelewa kuingia katika mitandao lakini TMZ Wamereport kuwa april mosi jamaa alikamatwa na police baada ya kumpiga    Anabella Chatman ambaye ni baby mama wake na kisha kumchukua kinguvu mwanae wa kiume na kuondoka nae huku akiwana na kidosho mwingine
kibaya zaidi inadaiwa jamaa alimgonga na gari baby mama wake huyo na kumuachia jelaa kwenye mguu wake
lakini coolio mkali Gangsta's Paradise" akiojiwa na police "amededai girlfriend wake ndie alie mshambulia kutokana na wivu baada ya kwenda na kidosho mwingine home ,hata hivyo police hawakuridhishwa na utetezi wake na kuendelea kumshikiria ..na mpaka sasa hakuna taarifa zozote kama jamaa ameachoiwa ama vinginevyo

Wednesday, April 10, 2013

Rihanna and Chris Brown Have Broken Up

0 comments


 Chris Brown and Rihanna
Rihanna and Chris Brown have broken up.
A source tells E! News that RiRi is choosing to focus on her career and business ventures for now, and was spotted smoking weed at Greystone Manor in Los Angeles last night.

Meanwhile, the 'mystery blonde' that Chris Brown was spotted with over the weekend has been identified as Keisha Kimball, a 22-year-old waitress at L.A.'s Playhouse nightclub.

She denies that anything is going on with Breezy.

"I am always Chris' waitress," she tells TMZ. "I know him and I am friends with his friends. Nothing has ever happened. I just work there... I don't go for black guys."

Just last week, Chris Brown appeared on The Today Show and sung the praises of his renewed relationship with his embattled girlfriend.
"Everything's good," he told Matt Lauer. "We're fine."

Tuesday, April 09, 2013

Ray J Azungumzia ngoma aliomuimba Kim Kardashian ....“I Hit It First,”

0 comments

Ray J and Kim Kardashian
Ray J week hii ana make headline za mitandao kufuati kuachia  track“I Hit It First,” inayomzungumzia  Kim Kardashian ambaye amebeba ujauzito wa Rapper Kanye west  ,sasa baada ya watu kuzungumzia sana track hiyo  Ray J amezungumzia track hiyo kwa kusema hakuna beef bali ameamua kufurahisha tu.
Ray J amesema watu wanachukulia hii kitu  seriously . “ni wimbo tu haiko kama wanavyofikiria,watu wanaenda mbali sana .amesema Ray J..

msikilize hapa akipiga kwa njia ya simu na “The Cipha Sounds & Rosenberg Show,”

Monday, April 08, 2013

Sikiliza ngoma ya Ray J aliomuimba Kim K ‘I Hit It First’

0 comments

Ray J I Hit It First

kwenye hiyo ngoma kuna mistari inayosema........

She might move on to rappers and ballplayers
But we all know I hit it first.
I had her head going North and her ass going South
But now baby chose to go West
No matter where she goes or who she knows
She still belongs in my bed.

Msikilize Ciara akizungumzia mapenzi yake na Future ,pamoja na Beef yake na Rihana.....

0 comments

Friday, April 05, 2013

Chris Brown ajitetea kuwa anavuta bangi kama dawa...

0 comments
chris brown marijuana stage ghana
Chris Brown Amejitetea kufuatia kuonekana kwa picha akivuta Bangi juu ya jukwaa akidai anavuta  bangi kwa ajili ya tiba
March 5, 2013 Chris Brown alipigwa picha akivuta ganja on stage pande ya  Hope City concert in Accra, Ghana.

hivi ndivyo mkongwe katika Soccer Taribo West alivyo danganya umri wakati akitafuta team ya kuchezea .......

0 comments

b_350_300_16777215_0___images_stories_taribowest.jpg
mchezaji huyo raia wa Nigeria ambaye alikuwa akicheza nafasi ya beki anadaiwa kudanganya umri wakati akijiunga na club ya Partizan Belgrade ya nchini serbia,siri hiyo imefichuliwa na alie kuwa rais wa club hiyo Zarko Zecevic .

Thursday, April 04, 2013

P SQUARE wakana kuepo Facebook...

0 comments
 
Peter Okoye kutoka P square ametoa Onyo kwa mashabiki wao kupitia Twetter kuwa wao hawatumii mtandao wa kijamiii wa Facebook ,hivyo kuna jamaa wapo Facebook wanaZogoa kama ni wao.

cheki tweet za Peter jana jumatano..

Hii ndo list ya wasanii watakao Perfom siku ya kuapishwa Rais mpya wa kenya Uhuru Kenyatta...

0 comments

Top Kenyan Boy-band, Sauti sol ni moja ya watu watakao tumbuiza katika sherehe hizo za kuapishwa Rais mteule Uhuru Kenyatta tarehe 9 april Sports Complex siku ja jumanne.

                               Sarakasi Dancers
Pia watakuepo Rufftone, Ringtone na Sarakasi dancers,japo  baadhi ya mitandao ya Kenya ukiwemo mtandao wa Vibeweekly.com umeandika kulikuwepo na ahadi za performance  kutoka kwa  international artist kama Chris Brown, Rihanna, Rick Ross and Nicki Minaj lakini mpaka sasa hakuna taarifa zozote  za ujio wa ata mmoja wa wasanii hao ...

Kid Cudi apewa baraka zote kujitoa GOOD Music ..

0 comments
G.O.O.D. Music Releases Statement on Kid Cudi's Departure
Kid Cudi alitangaza jumanne ya april 2 kupitia Power 106 juu ya kuamua kufanya kazi mwenyewe na kuachana na label ya mtu mzima Kanye ,baada ya kufanya nayo kazi kwa miaka mitano ..  . Cudi alisema alikuwa akisubiria kufanya kazi mwenyewe na akasisitiza kuwa yupo cool ya Kanye.
sasa wadadisi wa mambo wameitafuta management ya "G.O.O.D. Music kuzungumzia ishu hiyo na jamaa wamesema wanatoa support katika  maamuzi ya  Kid Cudi kuondoka GOOD MUSIC(Getting Out Our Dreams".)Label yenye wakali kama John Legend ,Big Sean ,Pusha T na mwana kutoka Nigeria D'banj ....

Kuna Tatizo kwani -KingKapita ft Godzilla Video Teaser ..

0 comments